Sitaki kupenda tena sana

kama uliendekeza mapenzi ya kihindi lazima uumie...
 
Love yourself mkuu

True happiness comes from within and not from somebody else
 

skia ndugu yangu.
me pia nimhanga wa mapenzi.
nilifanywa vibaya zaidi yako na binti niliyempenda sana.
nikushauri kitu kimoja.
ukikutana na msichana piga kazi ya maana kisha usisave hata namba,
we do them, then we leave.
it's hit and run!
usirudie makosa.
piga kisha sepa.
nimegundua these girls are not meant to be loved.
ukijataka kuoa utatuliza kichwa utampata mmoja baada ya kua umemjua vzuri.
ila kwa sasa piga usepe.
hakunaga kitu mapenzi ya kweli.
 
Ya kawaida hayo.. "never say never"
Katika maisha inatokea, utasahau then maisha yatasonga mbele..
 
Ahahahaha...... kaka hujayajua mapenzi......... Jidanganye hutopenda sana tena.....utarudi humuhumu kutuambia tena..............yangu macho
 
Mapenzi yanauma bt mwanaume akiachwa maumiv yake atabk nayo moyon ila mwanamke akitendwa itatangaza dunia nzima ili ijue katendwa
 
umesahau kama nawe uliwaacha watu kisa yeye sasa naye kakuacha kisa wengine
 
What goes around......
Safi sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…