Sitaki kufa nifanyeje?

Ohh brother, mbona swali lako hujalifafanua?. Umesema hutaki kufa. Nani kakwambia utakufa?. Wewe uliumbwa kuishi milele, na ndio ulikuwa mpango wa Mungu kabla ya kumuumba Adamu. Kosa walilolifanya Adamu na Hawa, ni kula lile tunda walipodanganywa na nyoka. Kama Adamu na mkewe wasingekula tunda lile, wangeendelea kula matunda, hata kufikia kula matunda ya mti wa uzima uliokuwa pembezoni mwa bustani ya Eden. aliupuliziaKwa kula matunda ya mti wa uzima, wangekamilisha mpango wa Mungu, yaani kuishi milele wakiwa katika mwili wa nyama( udongo.). Hebu sasa tuangalie wazo lako la kutotaka kufa. Kifo alichoambiwa Adamu na Hawa, ni kuzitenganisha Roho(pumzi ya Mungu), Nafsi(maamuzi kuhusu mema na mabaya), na Mwili( Udongo,au mwili wa nyama). Hiki ndio kifo alichoambiwa mwanaadamu kuwa lazima atakipitia. Mtu akifa, una chini una kimekufa ni mwili wake, ambao ndani yake Roho, na nafsi vimetoka. Kumbuka Mungu alipoumba udongo aliupulizia pumzi yake ambayo ni ya kuishi milele . na pumzi ilipoungana na mwili, kulitengenzwa kitu kingine kilichoitwa Nafsi. Hivi viwili(roho+Nafsi), havifi vinaendelea kuwa pamoja Mtu akifa, kama alikuwa amempokea Yesu , na kuishi maisha mema, roho yake itaenda paradiso,au ahera. Kama akifa akiwa hajampokea Yesu, na maisha yake aliishi katika maovu, roho yake itaenda kuzimu au Sheol, mahali wanapoishi mizimu . Mzimu ni roho+ Nafsi ya aliyekuwa na mwili akafa katika dhambi... Angalia sasa gone mpaka hapo bado aliyekuwa na mwili akafa, bado anajitambua kuwa yeye ni nani, na alikuwa na elimu au cheo gani duniani, ikiwa ni pamoja na kuwa kumbuka watu alioishi nao duniani kama vile ndugu, wazazi, watoto, mke., NK. Angalia mfano wa Tajiri na maskini Lazaro katika Luka 16:19--31(mfano aliusema Bw. Yesu mwenyewe.. Kaka, baada ya kufa, maisha yanaendelea katika paradiso, au kuzimu, Mtu akingojea Siku ya hukumu ambapo kila Mtu atasimama kupokea hukumu ya jinsi alivyoishi hapa duniani. Kumbuka kuwa kuzimu, na ahera, ni sehemu za kusubiri Siku ya hukumu. Hakuna kula, hakuna,kulala, wala hakuna SAA pale kwa sababu usiku na mchana viko duniani tu. Ukienda nje ya dunia hakuna usiku kwa sababu roho, haihitaji mwanga wa jua wala mwezi ili kuangalia mzingira. Kifo cha kutenga mwili na roho, ni kama kulala ,maana Mtu atafufuliwa ili apokee hukumu. Kifo unachotakiwa kukiogopa ni ile mauti ya pili,( kutengwa na upendo wa Mungu) yaani kutupwa katika ziwa la moto. ambamo roho+Nafsi zitateseka milele bila kufa. Wewe usiyetaka kufa, Mpokee Yesu tu. Siku ya hukumu , ambayo atakayehukumu walio hai na wafu, ni yeye Yesu; hivyo atakukaribisha katika uzima wa milele. Usiogope kifo cha kwanza kila Mtu atakionja. Hata parapanda itakepolia, wore watakaokutwa wakiwa bado hai katika mwili, watabadilishwa kwa sekunde, maana yake wataonja mauti na kufufuliwa ndani ya muda mfupi. Mpokee Yesu , kisha kuishi maisha ya kumpendeza Mungu, hutakufa mauti ya pili, ambayo, ni kuishi milele mbali na upendo wa Mungu ndio ziwa la moto..Good day, brother.
 
hapo unatakiwa kwenda kwenye ghorofa reeefu kisha unapanda halafu ukiwa juu unasema nataka kuwa immortal mara 3 kisha unajiachia ukija tua chini baada ya dakika kama 10 hivi utajihisi mwepesi na uko free hapo ndipo umekuwa immortal ilambinu hii ni kwa mara moja tu ikifanikiwa ipasavyo nakutakia maisha ya u immortal bro.(angalizo dhara lolote litokanalo na njia hii mm sitahusika kwa lolote uzi huu ni kwa elimu tu jaribu on your own risk) mimi nina kama miaka isiyopungua 25 kwa njia hii
 
Kweni wewe ndio ulitaka uzaliwe si umejikuta tu umeshazaliwa unaishi,hali kadhalika kifo nacho kitakuja hivyo hivyo utajikuta tu umekufa.
 
Kama wewe mpenda pepo iweje uogope kifo??

Kifoo kifo kifo hakina huruma
 
Miaka 1000
 
Utakufa tu!!! Hakina kupenda au kutokupenda...
Utavuka daraja ukilifikia...
 
Inawezekana huko nyuma ulishakufa mara nyingi... Haya ni maendelezo ya ufufuo wako...

Tafakari, chukua hatua...

Cc: mahondaw
 
Utambuzi wa jinsi ulivyokuwa duniani utaendelea katika roho na nafsi baada ya kifo?
 
Kuishi kwangu ni KRISTO na kufa ni FAIDA.

By Paul.
 
KAMA KWELI HUTAKI KUFA NENDA POLISI KANDA MAALUM KIBIT, RUFIJI NA MKURANGA NA UHAKIKISHE UNAPATA AJIRA YA KUWA MTENDAJI WA KIJIJI HARAKA SANA WATAKUKINGA NA KIFO
 
I think the only reason we die ts bcoz we accept death as inevitability(stewe) u can refuse to die and live forever
 
Tengeneza legacy utakayoacha vizazi na vizazi baada ya wewe kuondoka duniani.
Mfano kampuni kubwa kama cocacola, au uvumbuzi mkubwa, au hosptilat kama hubert kairuki maana kila kilicho hai kitaonja umauti, hilo ndilo hufanya maisha yawe na maana.
 
Hata kulala kwa style hiyo sitaki.
Mkuu unaogopa kupoteza mwili kwa sababu unautumia sana hivyo mwili unapiga kelele , ni mwili wako huo unadai hayo kwa kuwa wenyewe ukifa ndio umeoza lakini ukiyaacha mambo ya mwili ukaanza kufuata ya rohoni, roho itakuhimiza kujiandaa kwenda huko maana huko ndio uwanja wa nyumbani wa roho, na utashangaa huogopi tena kifo! Kwahiyo kuogopa ama kutokuogopa ni mategemeo ya unakipa nafasi kipi kati ya roho na mwili, mto ngono,[emoji2]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…