Sitaki kazi - Nikki wa Pili

Staki kazi ni ngoma ya kuhamasisha vijana kutongoja tu ajira na kupoteza mda badala yake kujiajiri kwa sababu inawezekana

ndani ya hiyo video utaona kuna watu wanatafuta sana ajira bila mafanikio it means Kuna plan b ya kujiajiri
Nikki aliplay Kama roll model kwa kuhamasisha vijana kujiajiri

sanaa ni ajira amejiajiri kupitia sanaa lakini mbali na ukuu wa wilaya aliopewa hata kama angekuwa ameajiriwa na kampuni au serikali bado hana hatia kutokana na ngoma yake aliyoitoa yuko sahihi

Watu wanahoji sana kuhusu hili na lazima waandishi watamuhoji hili na Nikki ni smart naamini atawajibu vizuri

Nikki aliwahi kusema anataka kuwa rais
Sasa ameingia kwenye system
Hawezi kuikataa system na ana ndoto za kuwa rais

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Wewe tu ndiye unaonakena kuelewa/kuwa na akili kwenye huu uzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom