Sitaki kabisa mume mlevi

Mhh mi nikihakikisha unanipenda naacha pombe tatizo nakibamia
 
Kuna tofauti Kati ya mlevi na Mnywaji .....Mlevi ni yule anayelewa kupindukia anaweza akazima barabarani, akajikojolea, hata kujinyea. Lakini Mnywaji anajitambua muda wote na anakuwa makini
Na ukikuta mwanaume hatumii kinywaji lazima starehe yake kubwa Ni kujig jig , almost hawa Watu wanapenda kut....mbana ni wahuni Sana yaani wanatamani mademu wazuri wote Wawa duu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…