Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,028
- 52,505
Wachache sana hongeraSio wote wengine hatunywi.
My mm c mleviiiiiiiiiiiiiYaani mwanaume mlevi simtaki kabisa.wanawake waliiolewa Na walevi wanapata tabu sana.bora niendelee kupiga miayo.
Mimi mtu akinitongoza kama nahisi kumpenda huwa najifanya me mke mwema ,namtoa out namnunulia pombe wee .from there najua nimsave au nimdelete .
Ila wanaume wa dar mnapenda pombe jamani.mtakuja kufumuliwa marinda nyie.
Mlevi hapana .sitaki kabisa.sijui umeamka?
HeeeAaahh miss leo umetukana wanaume wa Dar?? Kwamba watafumuliwa nn??? .
tatizo umenizidi miaka mitatu ivi ila ningefaa kwa matumizi yako binafsi maana sinywi pombe, ila Ungegegedwa mpaka ukawa unanikimbia !!
Mimi nimeamka salama namshukuru Mwenyezi MunguYaani mwanaume mlevi simtaki kabisa.wanawake waliiolewa Na walevi wanapata tabu sana.bora niendelee kupiga miayo.
Mimi mtu akinitongoza kama nahisi kumpenda huwa najifanya me mke mwema ,namtoa out namnunulia pombe wee .from there najua nimsave au nimdelete .
Ila wanaume wa dar mnapenda pombe jamani.mtakuja kufumuliwa marinda nyie.
Mlevi hapana .sitaki kabisa.sijui umeamka?
Alafu Cute b weee naye unafukua makaburi mweeee , siungepita ukafumba macho hahahah !!Heee
Mimi bado naendelea kupambana na ule ung'eng'e wa jana nijue applicability yakeAlafu Cute b weee naye unafukua makaburi mweeee , siungepita ukafumba macho hahahah !!
Nilikumisimo kidogoooo ila nikajua mambo ya weekend hayo
Acheni ulevi bna.miaka hii kweli unalewa tilalila hujui hata home umefikaje?Aaahh miss leo umetukana wanaume wa Dar?? Kwamba watafumuliwa nn??? .
tatizo umenizidi miaka mitatu ivi ila ningefaa kwa matumizi yako binafsi maana sinywi pombe, ila Ungegegedwa mpaka ukawa unanikimbia !!
Sio kwa balimi zileMimi nimeamka salama namshukuru Mwenyezi Mungu
Hapo ulipo umelewaMm sio mlevi nakuja plz
Hao balimi sijui ni wanyama gani!Sio kwa balimi zile
He he heeeeeeee wacha niwe na heko hapaa, , nikuunganishe na Rasi Simba akusaidie kunyumbua??Mimi bado naendelea kupambana na ule ung'eng'e wa jana nijue applicability yake