Sitaki dawa

Sema sometimes naona kupima ndio chanzo cha majanga, bora ukaushe tu!
 
I AM SORRY TANZANIA..I AM SORRY GUYS!

I AM SORRY JF AND ALL WHO CALLED ME MENTOR.

ADIOS...
Hyo Story Ni Next Level Bruh,,,,yaani Inateka Hisia Za Mtu.Halaf Nimependa Hvyo Ulivyoweka Kama Vipande Tofauti Tofaut Vya Flashbacks,,,,its Epic Man....Keep It Up Bruh
 

Pamoja na kwamba yote yaliyoelezewa kumuhusu HIV si kweli,lakini hata huyo HIV hawezi kuua kwa staili hiyo ya sudden death,he he heee....yaani unaumwa na kufa ghafla....hata ule uongo tulioelezwa kuhusu HIV hauko hivyo.Huyo atakuwa amekufa kwa jambo lingine kabisa,kuna mambo mengi tofauti na uzushi huu wa HIV/AIDS yanaweza kuua kwa staili hiyo,wewe hujui tu.Kumbuka pia hata kwa kutumia maelezo yaleyale ya uongo,tumeambiwa HIV kwanza hushusha kinga,then ugonjwa mwingine unaofahamika ndio huingia kukuua,mfano malaria,TB nk...sasa huyo muhindi hakuonekana na ugonjwa wowote unaofahamika...yaani hata ule uongo tulioambiwa kuhusu HIV haufiti hapo.

Halafu nashangaa kwa nini hujiulizi ni kwa vipi mtoto wao hana matatizo wakati wazazi wake walikuwa hawatumii ARVs?Maana kama mama yake alikuwa anatumia ARVs wakati huo,watu/wewe ungesema kwamba ARVs ndizo zimemwokoa mtoto,sasa mama alikuwa hatumii ARVs lakini mtoto hajaathirika na wewe hujiulizi, na mama yake hajiulizi.Au ndio labda mungu amemwokoa eenh!!

Kuna kitu nadhani ni kigumu kueleweka na wengi hapa,naweza nikawa napoteza muda bure.Let me try again.Inaniuma kuona watu wanaangamia wakati ukweli naujua.
 
Kunauwezekano mhindi alipata maambukizi baada ya mtoto kuzaliwa.
 


Haiye moner'u mndumii Ruwa nakutarame neikunanga phinya na ikir'o la mbiu na mrima
 
Mentor this does not mean a lunch with you and your twin Watu8 is no longer..... am still waiting ujue...... Akemi ........ want to have a one to one session with you and your twin.

Ukija uje na ganja maana sijalipuliza sikunyingi.

Kasie.
 
Ahahahahaaaaaaaa afande mentor ni wewe tena? Ulihamia office gani tena?
 
Hiv ni kweli au umekuja kutukumbusha tu ili tuwe wangalifu we mentor?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…