Sitaki dawa

Sitaki dawa

Deception naomba nikuulize swali moja hapo uniondolee utata,sasa hivi vipimo vya HIV wamevitengenezaje mpaka ukipima unaoonekana HIV+ yaani vipimo vimetengenezwaje au kinachoonekana kwe damu ni kitu gani ila wao wanasema ni HIV??
Naomba unieleweshe hapo ili twende sawa,na kiujumla mi nimekuelewa sana huko nyuma!!

Kuna vipimo vya aina nyingi vinavyotumika kupimia huyo HIV,lakini vyote hivyo huwa vinapima aidha antibodies dhidi ya antigen('HIV surface proteins eg p24') au antigen yenyewe eg p24 au vyote viwili,yaani antibodies/antigen.Sasa vipimo hivi vimerekebishwa mara kadhaa kutokana na kukosa ufanisi wa kuwaletea wateja wanaowataka,na ndio maana kuna rundo la vipimo halafu vyote ni vya uongo.Cha kushangaza,maeneo mbalimbali duniani yanatofautiana,yaani hayatumii vipimo vya aina moja,kipimo kinachoonekana hakifai sehemu fulani kwingine kinaonekana kinafaa.Sasa hapo inabidi utafakari.

Sasa vipimo hivi havipimi huyo HIV kwa muonekano na badala yake vinapima kinga ya mwili dhidi ya protini au protini zenyewe ambazo zinaaminika zinatoka kwa eti HIV.Lakini fahamu kwamba kuna hali nyingi katika mwili wa mwanadamu ambazo zinaweza kuzalisha protini hizo hivyo kufanya vipimo vitoe majibu HIV+.Mimba kwa wanawake,homa kali ya malaria na TB ni baadhi ya hali ambazo zinaweza kufanya mwili uzalishe protini hizo ambazo hufanya vipimo kutoa majibu ya HIV+.

Kumbe kutokana na ukweli huu,njia pekee ya kuwa na uhakika ni kupima huyo HIV kwa muonekano,ukipima HIV kwa muonekano hutahitaji kuwa na vipimo vya aina nyiiingi,kipimo cha aina moja tu kinatosha,pia hutahitaji kurudia kupima au confirmation test kama wanavyofanya sasa.Lakini unajua kwanini wanang'ang'ania kutumia vipimo hivyo feki?Ni kwasababu hakuna HIV kiuhalisia,kinachopimwa ni protini zinazoaminika kwamba zimetoka kwa huyo HIV wa kufikirika,lakini ukweli ni kwamba hali hizo nilizotaja hapo juu ni baadhi ya mambo yanayoweza kuzalisha protini hizo.

Pia kuna dhana nyingine inabidi uifahamu.Inabidi ufahamu kwamba hao wanaoitwa wagunduzi waliamua kumpa jina la HIV kirusi aina ya retrovirus ambaye hana sifa za kushusha kinga ya mtu yeyote yule.Retrovirus walikuwapo enzi na enzi na hawajawahi kusababisha ukimwi kwa mtu yeyote hata kama watakuwapo mwilini kwa miaka yote ya maisha ya mtu.Futilia sayansi ya kweli kuhusu retrovirus utajua ukweli huu.Retrovirus hawa pia wana hizo protini tajwa kama vile p24.Sasa protini hizi ziko kwenye surface ya retrovirus,sasa kama umeweza ku detect protini hizi maana yake retrovirus huyo yuko nje ya seli,hayuko ndani ya seli,hii maana yake ni kwamba anapokuwa nje ya seli ile envelope yake(yaani surface yake/jumba lake) inatoka/nyofoka.Sasa kama envelope yake itanyofoka maana yake kamwe hawezi kuingia ndani ya seli,hii ni kwasababu retrovirus hutumia hilo jumba kuingilia kwenye seli husika.

Halafu pia,hata kama retrovirus ataingia kwenye seli hana uwezo wa kushusha kinga kutokana kwamba hana tabia hiyo kisayansi(sayansi yake ina maelezo kidogo).Retrovirus hawa hawaambukizwi kutoka mtu mmoja kwenda kwa mwingine kwa njia ya ngono(hapa pia kuna maelezo kidogo).Wewe ukiona mke na mume wote wamepimwa HIV+,usihangaike,chunguza mambo yale ninayosema siku zote,utagundua wanaangukia kwenye kundi mojawapo la sababu zinazozalisha protini hizo ktk mwili.

Hivyo kuambiwa kwamba wewe ni HIV+ au HIV- hutakiwi kuogopa na wala hutakiwi kufurahia kwa maana ni ujinga tu.Hakuna maana yoyote yenye kutilia mkazo kama utaambiwa wewe ni HIV+ au HIV-.Watu wanaohuzunika au kufurahia pindi wanapopewa majibu haya huwa wanakosa uelewa huu.HU ndio ukweli ulivyo.Kwa undani zaidi kuna paper za kufuatilia na kuna documentaries pia.Lakini ukweli halisi utaupata kwa wewe kuona mwenyewe kwa macho yako yanayotokea mtaani au kwenye vituo vya afya.Ngoja nikukumbushie ile documentary inayoitwa "The birth of Heresy/positively false",ingia kwenye youtube utafute hii doc na uifuatilie kwa makini sana mpaka mwisho,hii doc inazungumzia hasa kuhusu vipimo vya HIV jinsi vilivyo vya uongo na kwamba majibu yoyote utakayopata hayana maana yoyote ya kutilia mkazo.

Eti wanakwambia kuna majibu HIV+,HIV- na majibu TATA,halafu wanatumia vipimo vingine ku confirm kipimo cha kwanza.Sasa kwa nini wasitumie kipimo cha pili moja kwa moja na badala yake wanatumia cha kwanza then wana confirm na cha pili.Upimaji wa namna hii labda una logic kwa magonjwa yasiyoambukiza tu kama vile cancer nk,lakini kwa magonjwa yanayoambukizwa(yaani vijidudu) unahitaji kupima kijidudu kwa muonekano baaasi,kwisha.Huu ujanja ujanja mwingine ni wa kutafuta wateja wa ARVs tu.

Jiulize tena,kama wanafanikiwa kuona protini zilizotoka nje/kwenye surface ya HIV,kwanini wanashindwa kumuona HIV mwenyewe?He he heeee,au HIV amekuwa shetani,yaani mnaona matokeo yake tu,yeye mwenyewe haonekani?Au HIV ana utashi kama mtu,kwamba akigundua tu anapimwa basi anakimbilia kujificha,he he heeee.Yaani ukianza kuhoji tu suala la HIV/AIDS ujue tayari umeshajua ukweli.Halafu jiulize tena,hivi huyu HIV kwanini asisababishe ukimwi tangu enzi hizo kabla hajatangazwa lakini anakuja kusababisha ukimwi kuanzia hasahasa miaka ya 1980?Kwani HIV ana umri gani?Kwa kuwa wao wamempachika jina retrovirus kama ndio HIV basi retrovirus walikuwapo kabla ya hao wanaoitwa wagunduzi hawajazaliwa,sasa inakuwaje anaanza kusababisha AIDS miaka ya 1980 na si kabla ya hapo?

Tafakari,chukua hatua.
 
Deception unapouongelea ukimwi au hiv usiongelee Tanzania pake yake. Usiwaongelee watu weusi tu. Ukimwi upo dunia nzima. So please ongelea kidunia. Kingine usiwaaminishe watu na elimu za Google au youtube. Elimu ziko vyuoni. Hakuna aliye graduate youtube au Google. YouTube na Google kuna debate Yaani watu wanabishana ni kama hapa jf. Kama unajiona una dawa au una uwezo wa kutibu ukimwi achana na hii biashara ya kutafuta mteja mmoja mmoja mitaandaoni na kumtia ujinga. Kama una huruma kweli nakushauri nenda pale muhimbili kuna waathirika kibao nenda kawape hiyo milonge wapone. Watafurahi na jina lako litakuwa kubwa baadala ya kuishia hapa na majina bandia. Tunajua lengo lako ni kujipatia wagonjwa mitaandaoni ili upate hela. Ila njia unayotumia ya kizamani na ya uongo. Final kama unasema ukimwi au hiv hakuna tafuta wafadhili wakulipie nenda kwenye media TBC, ITV na magazeti Yote ita waandishi tangaza jieleze kama alivyojieleza babu wa loliondo. Weka na adress yako unapopatikana. Achana na kujificha hapa jf. Nina uhakika dunia nzima itakuona na utapiga hela kuliko Hata Dokta Mwaka.
 
Kuna vipimo vya aina nyingi vinavyotumika kupimia huyo HIV,lakini vyote hivyo huwa vinapima aidha antibodies dhidi ya antigen('HIV surface proteins eg p24') au antigen yenyewe eg p24 au vyote viwili,yaani antibodies/antigen.Sasa vipimo hivi vimerekebishwa mara kadhaa kutokana na kukosa ufanisi wa kuwaletea wateja wanaowataka,na ndio maana kuna rundo la vipimo halafu vyote ni vya uongo.Cha kushangaza,maeneo mbalimbali duniani yanatofautiana,yaani hayatumii vipimo vya aina moja,kipimo kinachoonekana hakifai sehemu fulani kwingine kinaonekana kinafaa.Sasa hapo inabidi utafakari.

Sasa vipimo hivi havipimi huyo HIV kwa muonekano na badala yake vinapima kinga ya mwili dhidi ya protini au protini zenyewe ambazo zinaaminika zinatoka kwa eti HIV.Lakini fahamu kwamba kuna hali nyingi katika mwili wa mwanadamu ambazo zinaweza kuzalisha protini hizo hivyo kufanya vipimo vitoe majibu HIV+.Mimba kwa wanawake,homa kali ya malaria na TB ni baadhi ya hali ambazo zinaweza kufanya mwili uzalishe protini hizo ambazo hufanya vipimo kutoa majibu ya HIV+.

Kumbe kutokana na ukweli huu,njia pekee ya kuwa na uhakika ni kupima huyo HIV kwa muonekano,ukipima HIV kwa muonekano hutahitaji kuwa na vipimo vya aina nyiiingi,kipimo cha aina moja tu kinatosha,pia hutahitaji kurudia kupima au confirmation test kama wanavyofanya sasa.Lakini unajua kwanini wanang'ang'ania kutumia vipimo hivyo feki?Ni kwasababu hakuna HIV kiuhalisia,kinachopimwa ni protini zinazoaminika kwamba zimetoka kwa huyo HIV wa kufikirika,lakini ukweli ni kwamba hali hizo nilizotaja hapo juu ni baadhi ya mambo yanayoweza kuzalisha protini hizo.

Pia kuna dhana nyingine inabidi uifahamu.Inabidi ufahamu kwamba hao wanaoitwa wagunduzi waliamua kumpa jina la HIV kirusi aina ya retrovirus ambaye hana sifa za kushusha kinga ya mtu yeyote yule.Retrovirus walikuwapo enzi na enzi na hawajawahi kusababisha ukimwi kwa mtu yeyote hata kama watakuwapo mwilini kwa miaka yote ya maisha ya mtu.Futilia sayansi ya kweli kuhusu retrovirus utajua ukweli huu.Retrovirus hawa pia wana hizo protini tajwa kama vile p24.Sasa protini hizi ziko kwenye surface ya retrovirus,sasa kama umeweza ku detect protini hizi maana yake retrovirus huyo yuko nje ya seli,hayuko ndani ya seli,hii maana yake ni kwamba anapokuwa nje ya seli ile envelope yake(yaani surface yake/jumba lake) inatoka/nyofoka.Sasa kama envelope yake itanyofoka maana yake kamwe hawezi kuingia ndani ya seli,hii ni kwasababu retrovirus hutumia hilo jumba kuingilia kwenye seli husika.

Halafu pia,hata kama retrovirus ataingia kwenye seli hana uwezo wa kushusha kinga kutokana kwamba hana tabia hiyo kisayansi(sayansi yake ina maelezo kidogo).Retrovirus hawa hawaambukizwi kutoka mtu mmoja kwenda kwa mwingine kwa njia ya ngono(hapa pia kuna maelezo kidogo).Wewe ukiona mke na mume wote wamepimwa HIV+,usihangaike,chunguza mambo yale ninayosema siku zote,utagundua wanaangukia kwenye kundi mojawapo la sababu zinazozalisha protini hizo ktk mwili.

Hivyo kuambiwa kwamba wewe ni HIV+ au HIV- hutakiwi kuogopa na wala hutakiwi kufurahia kwa maana ni ujinga tu.Hakuna maana yoyote yenye kutilia mkazo kama utaambiwa wewe ni HIV+ au HIV-.Watu wanaohuzunika au kufurahia pindi wanapopewa majibu haya huwa wanakosa uelewa huu.HU ndio ukweli ulivyo.Kwa undani zaidi kuna paper za kufuatilia na kuna documentaries pia.Lakini ukweli halisi utaupata kwa wewe kuona mwenyewe kwa macho yako yanayotokea mtaani au kwenye vituo vya afya.Ngoja nikukumbushie ile documentary inayoitwa "The birth of Heresy/positively false",ingia kwenye youtube utafute hii doc na uifuatilie kwa makini sana mpaka mwisho,hii doc inazungumzia hasa kuhusu vipimo vya HIV jinsi vilivyo vya uongo na kwamba majibu yoyote utakayopata hayana maana yoyote ya kutilia mkazo.

Eti wanakwambia kuna majibu HIV+,HIV- na majibu TATA,halafu wanatumia vipimo vingine ku confirm kipimo cha kwanza.Sasa kwa nini wasitumie kipimo cha pili moja kwa moja na badala yake wanatumia cha kwanza then wana confirm na cha pili.Upimaji wa namna hii labda una logic kwa magonjwa yasiyoambukiza tu kama vile cancer nk,lakini kwa magonjwa yanayoambukizwa(yaani vijidudu) unahitaji kupima kijidudu kwa muonekano baaasi,kwisha.Huu ujanja ujanja mwingine ni wa kutafuta wateja wa ARVs tu.

Jiulize tena,kama wanafanikiwa kuona protini zilizotoka nje/kwenye surface ya HIV,kwanini wanashindwa kumuona HIV mwenyewe?He he heeee,au HIV amekuwa shetani,yaani mnaona matokeo yake tu,yeye mwenyewe haonekani?Au HIV ana utashi kama mtu,kwamba akigundua tu anapimwa basi anakimbilia kujificha,he he heeee.Yaani ukianza kuhoji tu suala la HIV/AIDS ujue tayari umeshajua ukweli.Halafu jiulize tena,hivi huyu HIV kwanini asisababishe ukimwi tangu enzi hizo kabla hajatangazwa lakini anakuja kusababisha ukimwi kuanzia hasahasa miaka ya 1980?Kwani HIV ana umri gani?Kwa kuwa wao wamempachika jina retrovirus kama ndio HIV basi retrovirus walikuwapo kabla ya hao wanaoitwa wagunduzi hawajazaliwa,sasa inakuwaje anaanza kusababisha AIDS miaka ya 1980 na si kabla ya hapo?

Tafakari,chukua hatua.
Kuna muda nataka kukuelewa ila nabaki na maswali, kuna namba kubwa sana ya watu ambao wametangulia nawafahamu kwa gonjwa hilo, unaweza kuniambia nini kiliwapoteza. And as to my story like five years back nilitembea na HIV positive ila sikupima mpaka mwaka juzi baada ya kuwa mgonjwa sana, Mungu sio Pinda nikakutwa negative, baada ya muda nikapima tena the results were the same. Hili jambo sometimes nikisoma post zako naziamini sometimes napata doubt yani sometimes YES sometimes NO.
 
Ukiona huelewi ujue husomi post zote,unaruka baadhi ya post au husomi kwa makini.Hakuna swali lolote ambalo unaona lina utata ambalo sijaligusia,hata hilo linalohusu hao watu unaowafahamu waliotangulia pia kuna mtu humu aliwahi kuuliza kama hivyo na nimemjibu vizuri tu,ila nadhani utakuwa hujapitia tu.Ili uelewe suala hili lote,hutakiwi kurukaruka wakati unasoma,soma yote,kwa maana kila jambo lina nafasi yake ambapo ukiyaunganisha yote unapata kitu kizima ambacho ndani yake kuna jibu la kila swali ambalo sasa hivi unaliona lina utata.Pitia tena post za nyuma.

1.Huhusu hao waliokufa:Angalia post #490 page ya 25.Mfano unaendana na huo uliotoa wewe.Nikikuuliza kama nilivyomuuliza mwenzako kwamba unipe maelezo yote muhimu kuhusu hao ndugu zako waliotangulia sidhani kama utaweza kunipa.Ndio maana huwa nasema unaweza kuona jambo kwa macho yako lakini usielewe,sasa mimi nitakusaidia kuelewa ulichokiona.

Naomba unitajie dalili zote unazozijua wewe ulizoambiwa kwamba ni za HIV/AIDS hapa ili nikupe jibu ambalo nina uhakika utalielewa tu.Halafu pia nitajie hao waliokufa walikuwa na dalili zipi au walikuwa wanaumwa magonjwa gani?Yataje.

2.Unaweza kunijibu ni kwanini wewe umepimwa HIV- pamoja na kutembea na mtu ambaye ni HIV+?Maana maswali haya huwa hamjiulizi,mkitokewa na mambo kama haya huwa mnayasahau kirahisi sana na kundelea na maisha yaleyale ya KIIMANI kwamba HIV anaambukizwa kwa njia ya ngono.Nasema ya KIIMANI kwakuwa wewe mwenyewe limekutokea lakini bado unaamini suala zima la HIV/AIDS,ingemtokea mwingine labda usingeamini,lakini limekutokea wewe mwenyewe.
 
Yah inawezekana unachokisema kuna reported cases nyingi. Unakuta mume na mke wamepima, mara mmoja wao anakutwa HIV+ na mwingine -. Baada ya muda huyu mwingine anakuwa + sabb ya mwenzio kukutwa +. I think dis thing plays wid mindset. Na why tx Africa tu, mwenzetu ni kitu ambacho hata hakiwasumbui kabisa, they don't have time ya kuzungumzia HIV/AIDS. I think nahitaji ufafanuzi zaidi, on my email or PM sio mbaya..
we sio mzima dada ake mariah carey ana ngoma, yule msanii wa pop prince aliefariki alikua na ngoma, na wako kibao ata lil wayne amekua akiutaja sana huu ugonjwa sasa wewe danganywa na akina deception oune matokeo yake. sio kila mtu ni mwema huku wengne wanataka kulipiza kisasi ili nafsi zao ziridhike sababu na wao walipata ukimwi kwa njia moja ama nyingne
 
I AM SORRY TANZANIA..I AM SORRY GUYS!

I AM SORRY JF AND ALL WHO CALLED ME MENTOR.

ADIOS...

Mdogo wangu acha basi......
Bado naamini hii ni story kama story zingine tu ulizowahi kutuletea hapa
 
Mh!!
Lakini kila mwadhirika hakosi sababu ya kuadhirika kwake, kuna watu wanajua kupata vvu mpaka utembee na machangudoa bila kinga, kumbe wanasahau wapo wanafunzi, walimu, madaktari, mahousegel na kwa wale wanaoamini walokole kua hawana kwa sababu ya ucha MUNGU wao kumbe wanajidanganya,
Binafsi kabla niliamini sana kua madaktari na wauguzi kwa ujumla ni vigumu kukuta wameadhirika kwa kua hua wanawaona watu wa kila aina walioadhirika na vvu, kwa hiyo hawawezi kufanya mapenz na mtu bila kupima au kutumia condom, lakini miaka 5 iliyopita ilinitoa dhana hiyo baada ya kua na mahusiano {tena ya muda mfupi tangu kujuana} na daktari mmoja wa kike na tukawa tunangonoka bila hata kinga na wala hakuuliza habari ya kwenda kupima vvu.
UKIMWI UPO KILA MAHALI NA KWA YETOTE.
 
Ndio ninatibu Maradhi ya Ukimwi,Ugonjwa wa Hepatiti B Virus,Maradhi ya Kisukari, Maradhi ya Saratani,Maradhi ya Uvimbe kwenye kizazi (Fibroid) (Ovarian cyst) Ugojwa wa Pumu, Maradhi Sugu ya UTI, Maradhi ya ngiri, Maradhi ya fangasi ya aina yoyote ile Sugu, Maradhi ya kiharusi, Stroke, Maradhi ya kutoshika mimba na kupunguwa unene pamoja na nguvu za kiume.Ukihitaji Tiba toka kwangu kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169

Bila shaka we utakua tajiri sana mazee
 
Pole sana mentor, usikate tamaa, Murudie Muumba wako, kuathirika sio mwisho wa maisha.

Kubali lililokupata liwe sehem ya maisha yako na kufata ushauri wa madaktari na kupata lishe bora
 
Naona kama unajichosha tu mkuu. HIV virus wanaosababisha kupungua kwa kinga ya mwili wapo na wataalamu bado wanaendelea kutafuta dawa kukiangamiza kirusi hiki. Usidanganye watu hapa UKIMWI upo na UNAUA.watu wabadili tabia na kuchukua tahadhari. Hakuna cha mindsets wala nini.
hahaha pole sana kijana.
 
Back
Top Bottom