Sitaki dawa

Okay, uwezo wa kujibu maswali yako yote kwa ufasaha sina. Ngoja nikatafute case mojawapo niifuatilie kwa karibu halafu tutarudi kujadili panapo majaaliwa.

Safi sana kwa uamuzi unaotaka kuchukua.Huu ndio uamuzi ambao utakaokutoa katika fikra za zamani ambazo zime base kwenye habari za kuambiwa pasipo kuona mwenyewe.Watu wengi wanaopinga huwa wanatumia hisia tu na habari za kuambiwa na wengine,hawajawahi kuona na kuchunguza wao wenyewe.Ninakuhakikishia kwamba,mtu yeyote yule atakayechukua uamuzi wa kuchunguza yeye mwenyewe jambo hili,lazima ataujua ukweli,na hili ndilo jambo ninalisisitiza siku zote,lakini badala yake watu wanaishia kupinga tu na kutegemea maneno yaleyale ya kuambiwa kutoka kwenye vyombo vya habari na watu wengine.

Unajua unaweza hata kuona kwa macho jambo fulani lakini usielewe kwanini jambo hilo liko hivyo.Mfano;watu wengi wakiona mtu amepimwa HIV+ na anatumia ARVs halafu mtu huyo anajikuna na ngozi ina upele au nywele zimedhoofika,wanachojua wao ni kwamba matatizo hayo aliyonayo yamesababishwa na HIV,lakini ukweli ni kwamba yamesababishwa na ARVs.Sasa watu hawa wanajua hivyo kutokana na kasumba au habari za kuambiwa za mitaani tu.

Ndio maana huwa nasema,uthibitisho halisi na ukweli wa jambo hili si rahisi kuupata kwa kubishana tu humu JF,unapaswa kujua kwanza haya ninayosema,halafu wewe mwenyewe uende mtaani au kwenye vituo vya afya ukachunguze.Ukifanya hivyo utajionea mwenyewe waziwazi kwamba tumedanganywa.Uongo huu umefanikiwa kudumu kwa muda mrefu kutokana na akili nyingi iliyotumika kudanganya na pamoja na watu kukosa weledi na kuwa wavivu wa kufikiri.

Ukipata case mojawapo na kufanya uchunguzi wa kutosha katika nyanja nilizokuuliza,unaweza kuja tena tujadili.
 
Mkuu me nimekusomà nimekuelewa. Watu wanaokubishia wengi wanauelewa kidogo kuhusu huu ugonjwaa ndo maana ukiwapa majibu yaliyojitosheleza wanashindwa kujitetea. Ningependa kujua zaidi. Naomba nielekeze uzi mwingiñe uliotoa darasa nijifunze

Haiwezekani kuitetea dhana ya HIV/AIDS kwasababu ni ya uongo,ndio maana wale wanaopinga wanaishia kunizungumzia mimi personally,tena kwa mabaya.Hawazungumzii hoja kwasababu hawana facts,na hawawezi kuwa na facts kwasababu dhana hii ni ya uongo,labda walete facts za kuthibitisha uongo ndio wataweza.

Kuna threads nyingi sana,nyigine sizikumbuki mpaka nizitafute kwenye profile yangu.Lakini mojawapo ambayo ina mambo mengi ni hii hapa chini;

Inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?
 
Mkuu mm naomba namba yako
 
Aaah wapii wewe... Mbn unapendaga kuleta story za kuhuzunisha... Me bado sikuamini..
 
Ndugu Deception pole kwa kazi ya kuendelea kuelimisha jamii, nina mwaka sija comment humu ila nilipoona id yako nimeshindwa kujizuia ku comment hasa kwenye uzi kama huu, usichoke kuwaelimisha tayari washakuwa brain washed hawa, i do salute you.
 
Hongera Mkuu Deception mimi binafsi nimekuelewa vyema kabisa,endelea kutoa elimu kuna maktari humu wameaminishwa uongo huu na wao wameubeba hivi hivi........mi nachoamini kinaua ni kupima na kuambiwa unaumwa mawazo yanapozidi hata chakula hakipandi hapo ndipo hata kinga mwili hushuka na kupelekea mtu kuanza kuugua maradhi na ile dhana ya kwamba ukiugua Ukimwi huponi hiyo ndo kabisa!!
 
Deception naomba nikuulize swali moja hapo uniondolee utata,sasa hivi vipimo vya HIV wamevitengenezaje mpaka ukipima unaoonekana HIV+ yaani vipimo vimetengenezwaje au kinachoonekana kwe damu ni kitu gani ila wao wanasema ni HIV??
Naomba unieleweshe hapo ili twende sawa,na kiujumla mi nimekuelewa sana huko nyuma!!
 
Khee!

Nakulazimishaje uende usikotaka kwenda?
Ila Nyani Ngabu unapenda sana watu wajadili umri wako, sijaelewa ni kwanini. Kwa maoni yangu huwezi zuia watu kufikiri wanavyotaka kufikiri. Na haipunguzi au kuongeza kitu mtu akijifanya kukujua. Kwenye uzi huu, suala la umri wako umelianzisha mwenyewe. Sielewi sana kwakweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…