Naantombe Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,254
- 15,735
Nimeimisi hii story ya ndugu yangu Mentor ambayo aliitoa tarehe 25/6/2016 kwa sababu nilikuwa kwenye majukumu mazito ya kumwagilia shamba la mapenzi. Ni hivi sasa nimepata kuisoma hii hadithi ambayo bwana Mentor kwa ustadi mkubwa ameweza kuudhihirishia umma kwamba amehathirika na ugonjwa UKIMWI.
Sijapitia comment zote maana zipo takribani 300 kuweza kudadavua kama kuna mtu aliweza kushtukia detail moja ndogo ambayo ina falsify story nzima na kuifanya kuwa ni ya uongo. Kuna sentensi kwenye story hii imeandikwa ........ "Nilifanikiwa kumaliza mapema nikatoa nakala kama walivyoelekeza; za kupeleka wizara ya elimu na za kutuma kwa barua pepe....."
Unless kama amekosea kuandika ila nimefanya confirmation na mtu wa pale wizarani na pasi na shaka amenithibitishia kabisa kwamba commonwealth scholarship zilizoombwa mwaka jana hazikupokelewa na wizara ya elimu. Hiyo tu inatosha kuifanya story hii kuwa fraud ya aina yake ambayo imetolewa kwa weledi mkubwa.
Lakini mimi binafsi sikutegemea kabisa kama bwana Mentor ambaye ni kati ya watu wenye upeo mkubwa kabisa, alishindwa vipi kudadafua ukweli wa hiyo sentensi hapo juu mpaka ije kumuumbua?
Lengo la thread yangu: Kwanza kabisa story yenyewe inasikitisha sana na najua wana JF wengi wamesikitika. Hivo basi kwa kuwa nimeweza kui falsify hii story ya Mentor napenda sasa kuchukua nafasi hii kuwaambia kwamba " Hii story ni ya uongo na ndugu yetu Mentor bado tunaye, mzima wa afya tele"....... Na wote tuseme Amen.... Mentor ni mzima na haitaji dawa kama kichwa cha thread yake kinavosema....