Sitak tena math.

canali issa

Member
Feb 20, 2017
9
5
Tangu nimeanza kazi sijawahi kutumiaa Kigawo Kikubwa cha Shirika(K.K.S) na Kigawe Kidogo cha Shirika(K.D.S)
Sijui shule nilisoma vyanini kuchoshana tu...nikikutana na mwalimu wa hili somo ama zangu ama zake!!!
 
Tatizo wabongo hakili zetu mgando sana.. Hizo kds,kks,tan, cos na vingine tunazitumia kila siki sio kazini tu hata katika mishe mishe zetu za kila siku.

Kwa wanaozielewa wanajua japo application yake unaweza usijue kuwa kuna maths imekuwa involved ila usidanganye watu kuwa hazina matumizi.
 
toa mfano ili tujue zinatumikaje..au naww ni ticha wa maths unatetea ugali wako
 
Majimaji war uliitumia wapi ...acha upotoshaji mwambie mwanao asisome math ili afaidi...
 
toa mfano ili tujue zinatumikaje..au naww ni ticha wa maths unatetea ugali wako
Hizo issue zina uhusiano na karibia kila aspect ya daily life la binadamu. Kwamfano katika ujenzi fundi tu ambae hajasoma shule hata ya msingi katika ujenzi wake lazima atimie sine na cosine kujua uzito wa paa na aweke nguzo ngapi ili jengo liwe stable na paa lisianguke.

Lazima utumie cosines na sines kujua urefu na angles zinazotakiwa ili jengo liweze kuwa imara. Japo ni vitu ambavyo watu wanafanya bila kujua kwamba kuna mathematics wanatumia.
 
Au imagine unafanya kazi posta unaishi tegeta.

Asubuhi lazima ujue unatakiwa ufike ofisini saa ngapi na hivyo utajua kabisa unatakiwa kuamka saa ngapi ili ufike ndani ya muda unaotakiwa.

Lazima u estimate muda utakaopoteza njiani kwenye foleni na endapo kutakuwa na dharura nyingine.. Hizo zote ni hesabu ila watu wanajitoa ufahamu
 
Hizi ata ambaye hajasoma anajua
 
Tatizo wabongo hakili zetu mgando sana.. Hizo kds,kks,tan, cos na vingine tunazitumia kila siki sio kazini tu hata katika mishe mishe zetu za kila siku.

Kwa wanaozielewa wanajua japo application yake unaweza usijue kuwa kuna maths imekuwa involved ila usidanganye watu kuwa hazina matumizi.
Hebu nitolee hata mfan. 1
 
Au imagine unafanya kazi posta unaishi tegeta.

Asubuhi lazima ujue unatakiwa ufike ofisini saa ngapi na hivyo utajua kabisa unatakiwa kuamka saa ngapi ili ufike ndani ya muda unaotakiwa.

Lazima u estimate muda utakaopoteza njiani kwenye foleni na endapo kutakuwa na dharura nyingine.. Hizo zote ni hesabu ila watu wanajitoa ufahamu
We ata chiz anae jielewa anajua.
 
Kanuni ya Pythagoras inatumika wakati unaona jifoleni hilooo, unaamua kuchepuka na kupita kichochoroni ili ufike mapema
 
Tangu nimeanza kazi sijawahi kutumiaa Kigawo Kikubwa cha Shirika(K.K.S) na Kigawe Kidogo cha Shirika(K.D.S)
Sijui shule nilisoma vyanini kuchoshana tu...nikikutana na mwalimu wa hili somo ama zangu ama zake!!!
Hahahaaaaaa Hisabati Ni Somo Rahisi Tatizo Tunakaririshwa Vitu Ambavyo Wengi Wetu Hatuvitumii
 
Hizo issue zina uhusiano na karibia kila aspect ya daily life la binadamu. Kwamfano katika ujenzi fundi tu ambae hajasoma shule hata ya msingi katika ujenzi wake lazima atimie sine na cosine kujua uzito wa paa na aweke nguzo ngapi ili jengo liwe stable na paa lisianguke.

Lazima utumie cosines na sines kujua urefu na angles zinazotakiwa ili jengo liweze kuwa imara. Japo ni vitu ambavyo watu wanafanya bila kujua kwamba kuna mathematics wanatumia.
Kumbe Wanajua Bila Wao Kujua! Lol Ila Hesabu Zingine Kukomoana Tu Aaah
 
Log inatumika wap?
Sema huitumii kwa kuwa ulipoishia kwenye kisomo chako ni level ya chini katika nyanja hizo. Ila zinatumika sana tu katika application nyingi sana. Mf K.K.S na K.D.S katika zinatumika katika kufanya mahesabu mengine kuna muda lazima uitumie iwe physics, chemistry au hisabati yenyewe.

Log inatumika sana tu kwenye Chemistry ipo sana tu. Sema mnasema haina matumizi kwa kuwa mli-opt masomo ya sanaa au hamkuendelea na masomo ya sayansi baada ya O-level.

Hakuna kinachofundishwa then kikakosa application mbeleni iwe kusaidia kukokotoa mahesabu mengine au iwe katika application in real life.

Hayo mahesabu yamekuja na kanuni zake baada ya mtu kufika mahali akagota, hawezi kuendelea mbele, ndipo mtu anafikiria how to overcome a challenge, solve problems accurately ndipo hayo makanuni yanagunduliwa na sio kwamba mtu anatungua tuu kichwani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom