hakuna mkuu huku ni interior kabisa , umeme shda, maji ,huduma zote mjini majoka mjini, gari lipo moja likipita saa kumi alfajiri ndo mpaka kesho tena saa kumi alfajiri,
IGHANUDA
hiii story imeenda vizuri ila kuna sehemu imekosewa kidogo. umeenda kwenye key moja kwa moja ungeweka vionjoo maana ni sehemu tamu sana hiii,
Usiku baada ya kuoga niliipaka hiyo dawa machoni tulipoenda kulala ghafla nilishangaa kumwona mke wangu akigeuka na kuwa joka kubwa na la kutisha pale kitandani.
Kisha ghafla tena akarudi ktk umbo lake la awali kama binadamu na akavaa kaniki nyeusi huku lile joka likiendelea kuwepo kitandani pale.
Mwishoni itakuja kama ya yule jamaa aliyekutana na jini na kuomba hela ya maji ya wapiga maombi. Nawewe sijui utaomba hela ya kumpa mchungaji au mganga anayeshughulikia uchawi wa mkeo!!!!!!