Sitaisahau siku ya interview

Hahaha we jamaa una kipaji cha story ila unahitaj kutumia ubongo vzr kuna maeneo unaonekana umebumba sana
 
Nimejifunza kitu hapo. Kuna watu wanapeana ahadi za kishujaa vyuoni na kuponda raha, baada ya chuo wanakua omba omba wa kutupa. Haya mambo ni ya kupita tu. Cha msingi ni kufocus kwenye maisha.
 
Nimejifunza kitu hapo. Kuna watu wanapeana ahadi za kishujaa vyuoni na kuponda raha, baada ya chuo wanakua omba omba wa kutupa. Haya mambo ni ya kupita tu. Cha msingi ni kufocus kwenye maisha.

Kweli Mkuu Ukipata nafasi usiipoteze kwa maana hujui siku wala saa atakapo kuja mwana wa Adamu
 
Hahahaaaaaa kwahiyo baada ya kazi mpaka sasa kila mtu na biashara zake au bado mna mpango ule wa [emoji183]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…