Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,639
Mtoa mada kakimbia kulaleki hahahaha
Hahahah sijakimbia mwehhhMtoa mada kakimbia kulaleki hahahaha
Sasa jeWanawake wasiri Sana ila wana mambo mazito...hapo huyu tuu kafunguka wakifunguka wote...wengine tutashukuru kwa vibuti tuliopiga siku chache na wengine wataacha wake na wachumba zao
Sitaki 50/50halafu mnataka 50/50?
Ilikuwa enzi hizoKuna Mrusi anaitwa Gregori Peril. Alisolve fumbo la hesabu lililodumu kwa miaka takriban 100 bila majibu.
Baada ya kusolve fumbo hilo, hakutaka umaarufu wala hakwenda hata kuchukua zawadi ya dollar millioni moja za kimarekani.
Upande wa pili wa dunia, kuna mdada kaamua kutusimulia vile amegegedwa porini asubuhi na akashindia ofisini akiwa na janaba!
Pia ni mdada mwenye mabwana wengine watatu ambao wote ni waume za watu!
Hakika, wanadam tunatofautiana!
Yap nataka kuanza upya"nawe una wanaume saba, na huyo uliye nate sio mume wako"
Yes ndio wa kwanzaHuyu jamaa ndo mume wa mtu kati ya wale watatu?
Karume Kenge.Sori ya akina Hekaya za Abunuasi, Esopo na Kaluma Kenge hizi
Hahahahah viwilialikupiga vingapi apo kwa pori?
daaah, ukiwa na gari unafaidi, mi nakomaa na sabuni tuuHahahahah viwili
Ndiyo madhara ya kukulana kwenye magariUlienda na mashahawa ofisini kwahiyo??
Bado ndo nahangaika nao woteVipi Kati ya wale wanaume watatu ulisha mchagua mmoja
Mwenyewe gari ninayodaaah, ukiwa na gari unafaidi, mi nakomaa na sabuni tuu
"nawe una wanaume saba, na huyo uliye nate sio mume wako"
aisee, mi sina gari, nawezatupia karata apo nikalamba Queen?Mwenyewe gari ninayo
Tena siyo kigari ni gari
Ilikuwa those days naanza na jamaa
We nawe si ndo nilikuwa nimeanza kazi,sa ulitakaje?afu sikujua atahitaj mechi, nilijua kama kawaida atanifata home,tutaenda ofcn then baadae tutasuluhishaNdiyo madhara ya kukulana kwenye magari
We vipi mie nakonfess ili niwe huru unataka kuunga tela?aisee, mi sina gari, nawezatupia karata apo nikalamba Queen?
Nina wanaume watatu nilio nao kwenye mahusiano. Nimchague yupi? - JamiiForumsVipi Kati ya wale wanaume watatu ulisha mchagua mmoja
Dah hata hili nalijutiaDaaah yaani gari hilo hilo na watoto wake wanapanda humo! Kwanini tusiwe waadilifu