viongozi wa CHADEMA wakiwa na akili timamu tena wasomi wanawashawishi wananchi wasiojua kitu kujiunga na maandamano au mikusanyiko yao isiyo na kibali cha serikali wakijua fika kabisa kuwa ni uvunjaji wa sheria . na wakijua kitakachotokea .mfano ..... KIFO CHA MUUZA MAGAZETI , na sasa KIFO CHA MWANDISHI WA HABARI. wenyewe wamekaa kwenye magari yao makubwa na majumbani mwao wanapigwa na viyoyozi huku wakipata umaarufu kitaifa na kimataifa kwa mbinu chafu na haramu. naapa ni bora nizikwe hai kuliko kuiona NCHI YA AMANI KIPENZI CHA DUNIA TANZANIA ikiteketezwa na waroho wa urais CHADEMA . TANZANIA inaweza kufanya mabadiriko katika njia sahihi na za amani kama tulivyoingia katika vyama vingi kwa amani. lakini si kwa njia hii ya CHADEMA ...MUNGU ibariki TANZANIA .MUNGU inusuru TANZANIA na hili jinamizi la CHADEMA .
Kweli wewe ni kupe unayekula kwa Nape, kutoipenda kwako CHADEMA unafikiri itabadilisha harakati za kukomboa Tanzania kutoka kwenye mikono ya wezi na mafisadi wanaokulipa???? Kalale huko endelea kupewa mshiko na Nape kwa post zako humu jamvini huwezi kuzuia kimbunga cha M4C na ndoto zako za nchana za wizi na dhuluma ukijidai ni amani, danganya makupe wenzako!!!! CDM tunasonga mbele lazima Watanzania waelezwe ukweli ni nanai wezi wanaodhulumu nchi hii, kwanza wakubwa zako warudishe mabilioni ya fedha zetu walizo ficha nje ya nchi!!!!!viongozi wa CHADEMA wakiwa na akili timamu tena wasomi wanawashawishi wananchi wasiojua kitu kujiunga na maandamano au mikusanyiko yao isiyo na kibali cha serikali wakijua fika kabisa kuwa ni uvunjaji wa sheria . na wakijua kitakachotokea .mfano ..... KIFO CHA MUUZA MAGAZETI , na sasa KIFO CHA MWANDISHI WA HABARI. wenyewe wamekaa kwenye magari yao makubwa na majumbani mwao wanapigwa na viyoyozi huku wakipata umaarufu kitaifa na kimataifa kwa mbinu chafu na haramu. naapa ni bora nizikwe hai kuliko kuiona NCHI YA AMANI KIPENZI CHA DUNIA TANZANIA ikiteketezwa na waroho wa urais CHADEMA . TANZANIA inaweza kufanya mabadiriko katika njia sahihi na za amani kama tulivyoingia katika vyama vingi kwa amani. lakini si kwa njia hii ya CHADEMA ...MUNGU ibariki TANZANIA .MUNGU inusuru TANZANIA na hili jinamizi la CHADEMA .
Unamjua Invisible wewe utapigwa ban sasa hivi, chunga hasira zako!!!!!HONGERA MKUUU. UTARUDI TU HAPA UNALIA..... nadhani mpango wenu wa kuwatumia polisi kuua ili mseme chadema wanaua utawatoa aibu, sijui kwa hili la iringa mtatoka vipi? mmeua mbele ya kamera...... labda mturoge kwanza, wachawi wakubwa na wanywa damu za watanzani NAICHUKIA CCM, NAWACHUKIA POLISI HATA KAMA NI NDUGU ZANGU, NAWACHUKIA WANAFKI, NACHUKIA NACHUKIA, NACHUKIA, NACHUKIAAAAAAAAAAAA................ KU** LA M*M* YAKOOOOOOOOOOOOOOOO
Wanawadanganya sana mnyika anakaa mbezi kwnye ghorofa kajengaje sijui,slaa anakaa masaki kwenye ghorofa kajengaje sijui mbowe ndo balaa wanapigania haki zipi wkt wao wanaishi kama wafalme!!
Mimi sio tu naichukia, bali natamani kiwake kiukweli niingie front kupiga hawa kokrochi wanaotaka kutuharibia inji.
viongozi wa CHADEMA wakiwa na akili timamu tena wasomi wanawashawishi wananchi wasiojua kitu kujiunga na maandamano au mikusanyiko yao isiyo na kibali cha serikali wakijua fika kabisa kuwa ni uvunjaji wa sheria . na wakijua kitakachotokea .mfano ..... KIFO CHA MUUZA MAGAZETI , na sasa KIFO CHA MWANDISHI WA HABARI. wenyewe wamekaa kwenye magari yao makubwa na majumbani mwao wanapigwa na viyoyozi huku wakipata umaarufu kitaifa na kimataifa kwa mbinu chafu na haramu. naapa ni bora nizikwe hai kuliko kuiona NCHI YA AMANI KIPENZI CHA DUNIA TANZANIA ikiteketezwa na waroho wa urais CHADEMA . TANZANIA inaweza kufanya mabadiriko katika njia sahihi na za amani kama tulivyoingia katika vyama vingi kwa amani. lakini si kwa njia hii ya CHADEMA ...MUNGU ibariki TANZANIA .MUNGU inusuru TANZANIA na hili jinamizi la CHADEMA .
Hata waziri wa CCM anamchombeza amuweke ndani Dr Slaa eti kachochea polisi kuuwa raia kweli hiyo ni akili, polisi waue watu eti mwingine akamatwe kweli????Magamba wote akili yao ni fupi hawafikli zaidi ya kivuli chao, wameisha ingia kwenye grill hatuwatoi ng'o hadi wakaukie!!!!wewe utakuwa uataka tukuombee ufe haraka, nasisi hatukuombei hivyo ng'o. Naomba Mungu akujalie maisha marefu mpaka siku utayoona CDM wanachukua nchi. Udondoke, uzimie na Kufa pale Rais kutoka CDM atakapomaliza kula kiapo cha uongozi.
Nakufananisha na sheria za South Afrika: Polisi wameua raia lkn wanafunguliwa mashitaka ya uuaji raia. Sasa nawe unajua ni polisi wametekaleza mauaji hayo yote kama ulivyotaja, lkn unawachukia CDM.
Ishi miaka mingi ushuhudie mapinduzi
Inji gani nawewe utakayoharibiwa? nchi haina hata umeme we waiita nchi, kweli we chizi!!!Mimi sio tu naichukia, bali natamani kiwake kiukweli niingie front kupiga hawa kokrochi wanaotaka kutuharibia inji.