Sitaenda Kanisani

Sitaenda Kanisani

Unasubiri watu wengine wakupiganie, wakati u kimya. Kwa nini usianze wewe. Hili Si jambo LA kuwatwisha viongozi Wa dini tuu. Fikiria
Wana platform ya kuzungumzia, na ndiyo kazi yao! Kuwasemea wanyonge! Tunaunganisha nguvu, wao wamekaa kimya.
 
Siku ya kiama Mungu hatakuuliza habari za wanasiasa, Pengo wala yeyote atakuuliza habari zako tu utajijua.
Mungu huoy atakuwa mpumbavu kama hatajua cause and effect... the principle of causation! Huyo si Mungu ni mwanadamu!
 
Mungu huoy atakuwa mpumbavu kama hatajua cause and effect... the principle of causation! Huyo si Mungu ni mwanadamu!
Wewe kumbe mleta mada ni kafiri.Kafiri toka lini akaenda kanisani?
 
nilishaachaga kitambo sana.....coz hayo madini yenu ni usanii mtupuuu...Napambana na hali yangu tu!
 
Dini sasa zimekua biashara, misingi ya dini imekiukwa Sana. Maadili ya kiimani siku hizi hamna tena, viongozi wa dini makanisani wanafanya wanavyoona wao inafaa ilimradi kukusanya màpato makubwa ya sadaka.
Binafsi naudhika sana nyumba za ibada zimegeuka kuwa za mipasho na kulalamika. Sijui vizazi vyetu vitakua vya aina gani!
 
Mi niemeenda ila sijatoa sadaka.
sadaka yangu nitatoa kwa masikini nitakaokutana nao, sio kumpa Gwajima au Lusekelo wawekee mafuta magari yao yakifahari.
 
Sitaenda Kanisani kuonyesha kupinga Ukimya wa "viongozi wa dini" kushindwa kukemea maovu ya awamu hii.
Maadamu wajinga wa dini bado wanajazana kwenye majumba ya Ibada, sadaka zinatolewa, usalama wa kula yao bado upo. Wanaogopa, wanaogopa!
Ngoja nimsikie Pengo leo atasema nini, asivyo na Aibu!
wewe nawe ng'ombe kweli kwa hiyo unaenda kanisani kwa kufuata watu sio neno la din?? jiongeze wewe hao watu wapo waseme wasiseme hiyo haikuhusu pia unaweza kusimama kanisan na kusema mbele za waumini nayo itapendeza zaidi au vp
 
Kama hutokwenda Kwa Church Nivizuri Si Vibaya Lakini
Nakushauri Ufanye Ibada Safi Na Isiyo Na Taka Mbele Za Mungu Kawaone Mayatima , Wasaidie Wahitaji na wasioweza Kitu Mungu Atakujaza Neema Na Baraka Zake
Toa Upate Mungu Anahitaji Ukunjufu Wa Mioyo Yetu
 
wewe nawe ng'ombe kweli kwa hiyo unaenda kanisani kwa kufuata watu sio neno la din?? jiongeze wewe hao watu wapo waseme wasiseme hiyo haikuhusu pia unaweza kusimama kanisan na kusema mbele za waumini nayo itapendeza zaidi au vp
Ng'ombe mama yako
 
Back
Top Bottom