Sitaenda Kanisani

Sitaenda Kanisani

Ukiacha kwenda church unamkomoa Nani?

Kama sio kuinyima nafsi yako uzima Na afya ya milele
 
Nyie ndio mnaotokaga bungeni. Nenda kanisani kawaulize kabla ya ibada ili Swala lako lipewe uzito
 
haya sasa ni maajabu, ila bahati mbaya hakuna ataye-notice kuwa umegoma
 
Ana homilia sasa hivi radio tumaini namsikiliza!
Amani ya kweli italetwa na watu maskini(wachungaji). Watu ambao wako tayari kufanya kazi usiku na mchana kama wachungaji!~Kardinali polycapy Pengo sasa hivi.
 
Sitaenda Kanisani kuonyesha kupinga Ukimya wa "viongozi wa dini" kushindwa kukemea maovu ya awamu hii.
Maadamu wajinga wa dini bado wanajazana kwenye majumba ya Ibada, sadaka zinatolewa, usalama wa kula yao bado upo. Wanaogopa, wanaogopa!
Ngoja nimsikie Pengo leo atasema nini, asivyo na Aibu!
Siku ya kiama Mungu hatakuuliza habari za wanasiasa, Pengo wala yeyote atakuuliza habari zako tu utajijua.
 
Sitaenda Kanisani kuonyesha kupinga Ukimya wa "viongozi wa dini" kushindwa kukemea maovu ya awamu hii.
Maadamu wajinga wa dini bado wanajazana kwenye majumba ya Ibada, sadaka zinatolewa, usalama wa kula yao bado upo. Wanaogopa, wanaogopa!
Ngoja nimsikie Pengo leo atasema nini, asivyo na Aibu!
Unasubiri watu wengine wakupiganie, wakati u kimya. Kwa nini usianze wewe. Hili Si jambo LA kuwatwisha viongozi Wa dini tuu. Fikiria
 
Back
Top Bottom