Rudia kusoma kama utaona mahali nimesema "wanafaidika",nimekataa kusumbua watu kwa michango kwenye jambo la starehe ambalo mtu anaweza kujipanga na kufanya kwa uwezo wake na kualika idadi ya watu anaoweza kuwanao kutokana na kipato chake,na siyo kununia watu wakishindwa kuchanga,tuchangiane kwen6e ELIMU na MATIBABU.