Cha muhimu ni mtu kujipanga tu,mfano unategemea kuwa na watu 100 kila mmoja muwekee 50,000;kwa hiyo ukiwa na milion 5 yako inatosha kabisa
Na wewe utaoza lini ili nao wakuchangie...?
Harusi sio shida mkuu Ni raha ya muda mfupi inayogharamiwa Sana!!Kwanza kabla hujakataa kuchanga fikilia siku na ww ukiwa na shida usipo changiwa utajisikiaje au utamwonaje ambae kakataa kukuchangia
Harafu kitu kingine kinachotuponza mtu anakupa kadi unasema haina shida tuko pamoja harafu mpaka harusi unaingia mitin
Harusi sio shida mkuu Ni raha ya muda mfupi inayogharamiwa Sana!!
Kumbe ni mradi wa nini kama sio kupata hela??Aafu watu lazima wajue, nisipokuchangia isiwe sababu ya kununiana.!!
Watu tumegeuza kukusanya michango ya harusi Kama mradi wa kupata hela.!!
Sio kila unayemuomba lazima akuchangie.!
Kwenye harusi wanaofaidika ni wale waliochanga tuu, bw na bib harusi wanafaidika wapi?? au ile keki na soda tu ? harusi kubwa au ndogo ufanywa na wachangaji.Fanya tathimini uniambie bw na bib harusi walikofaidika.Huu ni utaratibu wa kuumizana,uanapanga wewe kuoa,unatakaje watu wakuchangie?halafu unakuta wanataka mambo makubwa,utasikia harudi ya milioni 30,ukimuuliza wewe mwenyewe una ngapi?anakuambia milionioja.
Ulitakiwa uajipange upate milioni 4 nne zako ufanye chakula na vinywaji,uwaalike watu wachache unaowataka,wao kama wataweza wakuletee zawadi.
Munatuchosha sana na tamaa zenu za mambo musiyoyaweza,ndiyo maana ndoa hazidumu,unaoa harusi kubwa kwa kuumiza watu,wengine wanatoa wasinuniwe tu,halafu maisha yanawashinda huko mbele.
Oeni kwa nguvu zenu za kimwil8 na mfuko bana.Muanaanza kunyima 2atu raha wanabadili njia,Tunatoa ela i ayotuuma sana.
Mchango mtu atoe bila kuomba bana,acheni tamaa,fanyeni harusi kubwa kwa gharama zenu.
Kwanza kabla hujakataa kuchanga fikilia siku na ww ukiwa na shida usipo changiwa utajisikiaje au utamwonaje ambae kakataa kukuchangia
Harafu kitu kingine kinachotuponza mtu anakupa kadi unasema haina shida tuko pamoja harafu mpaka harusi unaingia mitin
Hivi kumbe harusi ni shida
Rudia kusoma kama utaona mahali nimesema "wanafaidika",nimekataa kusumbua watu kwa michango kwenye jambo la starehe ambalo mtu anaweza kujipanga na kufanya kwa uwezo wake na kualika idadi ya watu anaoweza kuwanao kutokana na kipato chake,na siyo kununia watu wakishindwa kuchanga,tuchangiane kwen6e ELIMU na MATIBABU.Kwenye harusi wanaofaidika ni wale waliochanga tuu, bw na bib harusi wanafaidika wapi?? au ile keki na soda tu ? harusi kubwa au ndogo ufanywa na wachangaji.Fanya tathimini uniambie bw na bib harusi walikofaidika.
Kumbe umeshapata stara mwenzetu?Michango sio lazima ni hiari
Hakuna mtu anayeshikiwa mtutu wa bunduki achange ni wewe na moyo wako
Binafsi nimeshachangia harusi za watu wangu wa karibu wengi ilipofika yangu hata nusu yao hawakuchanga na skumlazimisha mtu achange
Hayo ni maamuzi kama maamuzi mengine
Hahaha mziguaNachangia rafiki zangu na watu wangu wa karibu tuu.
Mtu ambae najua siku nikiolewa mimi sitamuomba mchango anisamehe tu maana simchangii.
Hapa nina groups 3 za harusi toka nimeingia sijasema hata HI nasoma namute.
Kumbe umeshapata stara mwenzetu?
Sioni sababu yoyote kuchangia michango ya harusi ni utapeli. Kama ujajipanga usi oe wala kuolewa mna leta usumbufu na kadi zenu za michango.
Kuna mmoja aliniletea kadi ikibidi nimwambie hali ni ngumu sana siwezi kuchanga kaninunia mpaka Leo.
hakuna kuchanga huo ni wiziKuna card nimeletewa eti single 50,000/= na hakuna pombe