Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,683
hahahha...kuna jukwaa la siasa kule nenda utaelewaKweli huku ni Chit-chat, kila kitu kipo bim-bam, hip-hop, chap-chap, krip-krap, piff-puff, etc.
Ila kiukweli Mt. Ivuga hapa sijaelewa kitu!
What a CrapLeo katika zunguka yangu ile nimetoka mitaa ya maskani nikaamua kukamata basi chap chap kwani nilikuwa siendi mbali.. basi lilikuwa halina watu wengi nikakaa fresh kwenye kiti kilichokuwa karibu yangu.. kiti cha pembeni kulikuwa na bonge ya sista do,na alikuwa ametupia vitu vya ukweli amekaa amepakata i pad anabrowse na chupa ya maji mkononi.. baada kama ya dk 5 hivi sista do akajaribu kufungua ile chupa yake ya maji kisista do akaiona kama vile ni ngumu kidogo ... nikawa namwangalia ...bila ya kusita akaniomba nimfungulie na mimi bial ya hiana nikaifungua nikamrudishia....kituo kilichofuata nikashuka nikamwacha sista do wa watu akaendelea na safari zake.. nimempigia hii stori mwana wangu mmoja ananiambia ningechukau namba ya huyu sista du ila kiukweli jambo nililofanya la kutochukua namba na kuendelea na mambo yangu ndio naona ni uamuzi mzuri kwangu...vipi masista du wetu wa bongo? soda ya chupa wanafungua hadi na meno
hahah....nawapenda dada zetu wa kibongo na nawa miss
niende posta kivipi.. mtoto wa kidosi huyu...tangu lini mabbasi ya bongo watu wakaana kuingia na i pad?Wewe ndo mshamba kweli, umeshindwa kuuliza hata namba ya simu sasa unalia huku utasaidiwaje. Nenda mitaa ya posta (bongo) ukaone vitu kule.
washing your mouth right?What a Crap
mkuu kumbuka sio bongo hapa..every body is bussy making moneyyaani ivuga unatongozwa live live unashindwa kujipakulia, wengine Tunagairi kushuka na kuendelea na safari mpaka atakaposhuka susta dUU!!
hujaishika sura yake..umtafute kwenye facebook..au twitter...
What are you doing abroad? picking grapes or keep hold of the old basesmkuu kumbuka sio bongo hapa..every body is bussy making money
Leo katika zunguka yangu ile nimetoka mitaa ya maskani nikaamua kukamata basi chap chap kwani nilikuwa siendi mbali.. basi lilikuwa halina watu wengi nikakaa fresh kwenye kiti kilichokuwa karibu yangu.. kiti cha pembeni kulikuwa na bonge ya sista do,na alikuwa ametupia vitu vya ukweli amekaa amepakata i pad anabrowse na chupa ya maji mkononi.. baada kama ya dk 5 hivi sista do akajaribu kufungua ile chupa yake ya maji kisista do akaiona kama vile ni ngumu kidogo ... nikawa namwangalia ...bila ya kusita akaniomba nimfungulie na mimi bial ya hiana nikaifungua nikamrudishia....kituo kilichofuata nikashuka nikamwacha sista do wa watu akaendelea na safari zake.. nimempigia hii stori mwana wangu mmoja ananiambia ningechukau namba ya huyu sista du ila kiukweli jambo nililofanya la kutochukua namba na kuendelea na mambo yangu ndio naona ni uamuzi mzuri kwangu...vipi masista du wetu wa bongo? soda ya chupa wanafungua hadi na meno
hahah....nawapenda dada zetu wa kibongo na nawa miss
lipi hilo mkuu..la mtu chake au?