Sisi wanawake tupewe maua yetu

Sijaolewa ila sipo single my dear
Acha waendelee kukupiga mikuyenge hadi akili ikukae sawa ndio utakubali kumpokea mwanaume mwenye nia ya dhati ya kukuoa. Kwa sasa acha wajuba waendelee kuisosomolaaa
 
Hii elimu ni muhimu ila ni vigumu kuipata. Ni wachache wanajua hayo
 
Wa kiroho tunaelewa maana ukizini umeweka agano na Roho yake inakuwa ya kwako, kama anamaagano ya Giza unayachukua...

NB: USIZINI ni Moja wapo kati ya amri ya Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…