SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,159
- 9,746
Nisiku mingi tu nimeshajitambuaga mwaya na kuwa mwangalifu sana wala sitaki mwanaume tena labda anioeBora umejitambua maana mnazidi kuwa wa hovyo, mnasambaza mbunye na kugawa nyapu kama vijiko vya mama ntilie
Nasimama nawew !
Uolewe mara ngapi?.sio wew niliewahi kukuomba utamu kwenye moja ya nyuzi zako , ukanijibu umeshaolewa?..Au umeshaachika ,umebaki unasubiri huruma ya Mungu muumba akuletee yeyote anae pumua?Nisiku mingi tu nimeshajitambuaga mwaya na kuwa mwangalifu sana wala sitaki mwanaume tena labda anioe
Sijaolewa ila sipo single my dearUolewe mara ngapi?.sio wew niliewahi kukuomba utamu kwenye moja ya nyuzi zako , ukanijibu umeshaolewa?..Au umeshaachika ,umebaki unasubiri huruma ya Mungu muumba akuletee yeyote anae pumua?
Lakini umesema hutaki mwanaume Tena labda akuoe??.Sijaolewa ila sipo single my dear
Eeh kanioa ila si ya kanisani. Ndio. Natamani ya kanisaniLakini umesema hutaki mwanaume Tena labda akuoe??.
YAani wanawake ni aibu kwa taifa. Tunaenda kutoa vitu vya muhimu kisa hamu ya mapenzi.
MJue tu hili unaenda kwa mpenzi wako mkifanya mapenzi hapo ni rahisi kutumia nyota yako na riziki yako.
Mf. Unalala na mtu hadi asubuhi mmekutana tu ukampenda .
Hujui usiku huo anahamisha nini ikifika alfajiri anakuamsha anakutoa usiku usiku asionekane kakumaliza .
Hata gesti wengine huwa wanauwawa kisa tamaa,na hamu ya kuliwa tu ovyoo.
Ukija kwa tamaa unaona mtu anagari nzuri,ni msafi ananukia unaanza tamaa unahangaika hadi akuone akija unaanza kumbebisha weeh mwisho gesti unapelekwa asubuhi kufika unapewa laki au laki mbili ,ila umeuza nyota yako kwa laki mbili au elfu hamsini.
Unashangaa mambo si mambo kumbe ulimpa mwenyewe .
WAnawake muwe na akili kwani ukiweka akilini kazi na pesa utapungukiwa na nini au tuseme huwezi kabisa olewa ukampa mumeo hiyo riziki kushinda unagawa na kila mtu unaishia kushangaa shanga mambo hayaendi.
Au unapataya. Misuko. Misuko. Isiyoeleweka
Good day .
Eeh kanioa ila si ya kanisani. Ndio. Natamani ya kanisani
Bora mshikane uchawi nyie kwa nyiekwani hakuna wanawake wabeba nyota?
kaa radaBora mshikane uchawi nyie kwa nyie
Akikujibu nistue
SweetyCandy post: 56709956 said:YAani wanawake ni aibu kwa taifa. Tunaenda kutoa vitu vya muhimu kisa hamu ya mapenzi.
MJue tu hili unaenda kwa mpenzi wako mkifanya mapenzi hapo ni rahisi kutumia nyota yako na riziki yako.
Mf. Unalala na mtu hadi asubuhi mmekutana tu ukampenda .
Hujui usiku huo anahamisha nini ikifika alfajiri anakuamsha anakutoa usiku usiku asionekane kakumaliza .
Hata gesti wengine huwa wanauwawa kisa tamaa,na hamu ya kuliwa tu ovyoo.
Ukija kwa tamaa unaona mtu anagari nzuri,ni msafi ananukia unaanza tamaa unahangaika hadi akuone akija unaanza kumbebisha weeh mwisho gesti unapelekwa asubuhi kufika unapewa laki au laki mbili ,ila umeuza nyota yako kwa laki mbili au elfu hamsini.
Unashangaa mambo si mambo kumbe ulimpa mwenyewe .
WAnawake muwe na akili kwani ukiweka akilini kazi na pesa utapungukiwa na nini au tuseme huwezi kabisa olewa ukampa mumeo hiyo riziki kushinda unagawa na kila mtu unaishia kushangaa shanga mambo hayaendi.
Au unapataya.
Walikula kwanza wakasaza madam ,ndio baadae ukaja ukajitambua au anayekuja kuoa hapo ss anakuta kitu bikraaa??Nisiku mingi tu nimeshajitambuaga mwaya na kuwa mwangalifu sana wala sitaki mwanaume tena labda anioe