Sisi wanaume wenye Vitambi ni rijali na tunapendwa kuliko ninyi wembamba

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
3,030
3,324
Sisi wanaume wenye Vitambi tupo hapa kuwaambia kuwa, sisi ni rijali kuliko ninyi vimbau mbau.

Mwanamume mwenye kitambi unatembea na mtoto mrembo hadi ana ji feel prestige kuwa anatembea na mtu mzito.

Sisi ndio tunapendwa na warembo wakali kuliko ninyi wembamba.

Mrembo anatembea na mtu mwembamba hadi anajionea aibu kuwa anatembea na choka mbaya.

Wacha tujivunie kuwa na vitambi. Vitambi ni ishara ya ubosi.
 
Mimi sipendi mwanaume mwenye kitambi naona Ana matatizo nitamu force afanye mazoezi Ili kuepuka maradhi na Ili awe na performance nzuri kwenye mechi
Mama, nipe show na hili kitambi changu nikishindwa kukukojoza hadi ukakauka, uje utoe mrejesho hapa
 
Inategemeana na kitambi maana vitambi vingine vya kiporo,nasio anapendwa mwanaume mwenye kitambi ila kuna kitu kinapendwa ambacho kitambi ni ishara ya uwepo wa hicho kitu,yaani watu wanapenda mvua ila wakiona mawingu wanafurahi
 
Kama unahela wanapenda hela zako na si kitambi,na mwanaume huwezi jisifia kuwa na kitambi wakati ni malnutrition
 
Awapi, wenye vitambi hamuwezi mechi za mchangani, chini ya uvungu au kwenye dar. Mnaweza kutengua nyonga halafu pumzi zenyewe za kulenga kwa manati.
 
Mkuu kama unapendwa hivi acha mm nisipendwe tu
Screenshot_2018-11-27-13-14-37.png
 
Back
Top Bottom