Sisi Wanaume wa Dar leo hii tumesimama hapa Kuwapa ukweli Halisi. Dar Vs Mikoani Battle is around

Tatizo la washamba wa mikoani mi ushirikina... Mara utaskia kamuua mamaake au bibiake kisa eti ana macho mekundu. Huku utaskia wanapigana nyundo za kichwa na kwenda kuziweka mabuchani. Kwingine utaskia wanaviziana na kuchunana ngozi. Wa mikoani bado mko kwenye EVOLUTION. Ila nawapa big up mabinti wa mikoani wakikujua umetoka Dar utagonga mama mtu, mama mdogo, shangazi, dada, na mdogo mtu.....i did it in Mbeya, Mwanza na Dom.
 
Haya haya wanaume wa dar tuimbeini wanaume wa mikoani ule wimbo wenu "nampa nampa nampa nampa papaaa"
 
Hahahahhhahahahhah, sasa me sijui ni wa wapi,? Sababu nimezaliwa mkoani na kukulia mkoani ila maisha yangu nayendesha Dar kwa sasa miaka 12.
Asilimia karibu 90 ya wakazi wa Dar ni kutoka mikoani, sasa mwanaume wa Dar ni yupi!?
Ukiishi miaka 5 na zaidi
Ushakuwa mwanaume wa dar
Unaona vichupi nguo fupi chura wakubwa wananesanesa hadi nguvu zinapungua
Ila wa mikoani chura hawakui wakubwa hawakai vibayabaya sasa ukiona paja tu
Mnara wapandisha presha
 
Reactions: kas
Hatutaki maneno. Tunataka muziki. Nyie mna maneno mengi kwa ajili ya kujitetea. Leteni madada zenu nasi tutawapa madada zetu kumi kwa kumi. Halaf waje watoe ushahidi.sisi wa dar tunapiga mpaka show 5 kwa siku moja.
Hivi mkuu ile tabia yako ya kula wake za watu hapa JF una mpango wa kuiacha lini??
 
Mke wa mwanaume wa Dar analalama hajawahi kupanda mlima Kilimanjaro wala vilele vyake vya Kibo na mawenzi
Halafu unajiita mwanaume uliekamilika
Ni kweli mkuu na ndio maana wanaliwa sana na samba boy au house boy wanaotoka mikoani
Utalikuta lidada zuri mume ana pesa ana cheo
Ila mdada kafa kwa mnuka kikwapa kwa kuwa gari inaendeshwa kwa spidi 120 kwenye kona hapunguzi
Mwendo mdundo
Sasa mbona mikoani hatuoni hayo
Kesi hizo zipo dar tu
 
Mikoani wamepatikana haha
 
Kama kawaida wazee wa kushindia kipande cha mhindi kilichopakwa pilipili na limao.... Mbombo ngafu
 
Mwanaume wa mkoani(bashite na kakake) wameingia dar, vibaka wote mbio. wengine wanabaki kulialia tu. we unafikiri kwanini magu anataka kuhamia dodoma? hataki kuitwa wa dar...hahahaha.!
 
halaf nmekumbuka, ni nani wanaolishwa hadi mishikaki ya nyau(wanashindwa kutofautisha hata harufu ya nyama).. jamani kuishi mikoani raha sana
 
nmepunguza kidogo ndugu yangu... najitahidi hivyo hivyo ingawa ni ngumu lakini kwa sasa naweza kula mmoja au wawili kwa week. nmekuwa busy kidogo na kazi.
Hivi mkuu ile tabia yako ya kula wake za watu hapa JF una mpango wa kuiacha lini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…