hahaha...
Mkuu jamaa anangalia mauno ya mama lishe...
Zoezi la usongaji ugali huendana na vaibresheni na mirindimo ya sehemu za mwili zilizodebweda...
lakini naona wowowo la huyo mdada kama ni kaukau sana,halina mvuto,huyo atakua cargo anasubiri ugali.Hahaha...
Mkuu jamaa anangalia mauno ya Mama Lishe...
Zoezi la usongaji ugali huendana na vaibresheni na mirindimo ya sehemu za mwili zilizodebweda...
jamaa anaonekana ana uchupa kama kidume kilichotoka kupigana vitani
Hahaha...
Mkuu jamaa anangalia mauno ya Mama Lishe...
Zoezi la usongaji ugali huendana na vaibresheni na mirindimo ya sehemu za mwili zilizodebweda...
Angekua mjanja angeweka kioo kwa chini.