Sisi wake zetu hawatongozwi??

Sisi wake zetu hawatongozwi??

Na unapotongozwa huwa unarespond kivipi?

Je, kuna ambao huwa unawapenda na kuwapa walau kanafasi kakuongea na ku flirt nao?

Na wale ambao huwafeel je? Huwa unawatolea nje papo hapo au?

Je, kuna ambao wamewahi kukutongoza na ukawakubalia? Hapa kama vile najua jibu lake lakini potelea mbali....I'll ask anyway....
ha haaaa, hayo maswali yako yoooteeee hayajibiki....... mbaya zaidi hadharani, lol!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nilishaambiwa au kusikia mara kadhaa kwamba Mwanamke kashtaki kwa Mmewe kwamba kuna Mwanamme anamfuatilia/anamtongoza, matukio haya yapo ya aina kadhaa:-

1. Mwanamke kulalamika kwa Mmewe kwamba katongozwa na mtu anayemfahamu huyu mwanamke kaolewa na kaolewa na nani.

2. Mwanamke kulalamika kwa Mmewe kwamba katongozwa na Mwanamme asiyefahamu kwamba huyu Mwanamke kaolewa.

Kwa sisi ambao wake zetu hawajawahi kutuambia kama huwa wanatongozwa tubaki na picha gani?

1.Wake zetu hawatongozwi?
2.Wanatongozwa wanakataa lakini Wanapuuzia kutuambia?
3.Wanatongozwa wanakubali na kuifanya iwe siri?

Najaribu kuwaza tu kwasababu mimi mke wangu hajawahi kuniambia kwamba ametongozwa na mtu yeyote.

daaah kwa kweli mim sijaoa ila nakumbukaa kipindi hichooo...manzi alikua ananiambia sana oooh huyu anaitongoza simtaki mara anipe namba niwavutie waya wajamaa ila daaah siku hizi hasemi sasa kama amewakubalia au kawakatalia me sijui...mapenzi baaaasiii...
 
wanatongozwa kwa sana kma ninyi mnavyotongoza.

kifupi watongozaji ni wale wale na watongozwaji ni wale wale. it is just a circle .

binadamu haturidhiki na hofu ya Mungu imeondoka.
 
Nilishaambiwa au kusikia mara kadhaa kwamba Mwanamke kashtaki kwa Mmewe kwamba kuna Mwanamme anamfuatilia/anamtongoza, matukio haya yapo ya aina kadhaa:-

1. Mwanamke kulalamika kwa Mmewe kwamba katongozwa na mtu anayemfahamu huyu mwanamke kaolewa na kaolewa na nani.

2. Mwanamke kulalamika kwa Mmewe kwamba katongozwa na Mwanamme asiyefahamu kwamba huyu Mwanamke kaolewa.

Kwa sisi ambao wake zetu hawajawahi kutuambia kama huwa wanatongozwa tubaki na picha gani?

1.Wake zetu hawatongozwi?
2.Wanatongozwa wanakataa lakini Wanapuuzia kutuambia?
3.Wanatongozwa wanakubali na kuifanya iwe siri?

Najaribu kuwaza tu kwasababu mimi mke wangu hajawahi kuniambia kwamba ametongozwa na mtu yeyote.

Mke wako anabusara!
 
Uwiiiii mbonisafoo cleme,mbuta nanga au umeoa puto pole sana.
 
Mi mke wangu akitongozwa then akaja kuniambia ntamkosea adabu sana, lakini kiroho roho ntajipongeza kwa kuchagua mke anae vutia
 
mwanamke akisema yanayojiri katika mahusiano yeyote ni kutaka kupima unamchukuliaje , ukipatwa na wivu anajua unampenda , ukidharau anajua humpendi
 
QUOTE=Mango833;7768199]labda mkeo sio mzuri. umeoa polygob hakuna anayevutiwa naye[/QUOTE]

Ahahahahah! Mkuu inawezekana mke wake ni kichomi ndio maana hatongozwi coz hana mvuto.
 
Usipende kutumia uwingi pasipo na ukweli usijidanganye hakuna mwanamke hata awe serious vp hatongozwi?? kila mwanamke ana level yake wewe ndo unaona huyu hawez nikubalia ukijilinganisha lakini wapo watu wanaona kabisa wakienda wana nafasi na kweli wanakubaliwa na wanapewa na haijalishi uyo ni mke wa mtu au la!!!!

Haaahaaahaaahaaa!!! unanikumbusha wimbo wa marehemu EBBO(Mmasai) alisema usiogope ongea naye, kwamba bei unayooina imebandikwa kwenye "bidhaa" siyo halisi ongea naye tuu utafanikiwa!! Hata hivyo ukweli unabaki kuwa kutongoza/kutongozwa kunafanikishwa kwa kiasi kikubwa na opportunity, akijiweka katika mazingira yanayokupa hiyo oportunity ni kweli hata akiwa serious kiasi gani atatongozwa, na kwa maumbile ya binadamu huenda udhaifu ukamzidi na kujikuta akiisaliti ndoa yake. Kikubwa hapa ni kwa wanawake, wake zetu ku-minimize hizo oportunity. Maana baadhi ya wanaume kwao kosa moja tu, ni goli .
 
Kwa hiyo huwenda wake zetu pia wanatongozwa lakini hawatuambii tu

Kama wewe ulimwona na akakuvutia, ukamtamani, na ukamtongoza, basi ujue wanaume wenzio nao humwona kila siku, huwavutia, humtamani, na kama wanapata opportunity humtongoza. Kama akikuambia habari hiyo fahamu kuwa hajafuzu mrudishe mkoleni kabla hajakuletea majanga ya kugombana na watu kila siku au tamaa ya kulipa kisasi ukaishia jela. Fahamu kuwa kwa kutokuambia kuhusu jinsi anavyotongozwa anakuepusha na majanga kadha wa kadha.
 
Huwa lengo la kutongoza ni nini?
Ukitongoza akakubali (kwa maelezo yako huwa unatongoza kutania) inakuwaje?
Halafu we Mpitagwa gwalamsha sebho!
cc: Baba V
Kwanza utajuaje kama huyu ni mke wa mtu au laa zamani sisi tulikuwa tunangalia vidole na ukiona pete unajua huyu ni OPP meaning Other People's Property. Leo hii wanachonga pete pale kariakoo hadi unawaonea huruma tena wanachanganya ya uchumba na ya ndoa zinaunganishwa. Chinese. Halafu baadhi ya wenzetu wakioa dini zao hawavalishani pete. Kutongoza si kusema tu weee dada nakupenda. Sasa hiyo ni issue? Gwalamsha sebho!
 
sasa unataka kuambiwa ili iweje? ukapigane au? mkeo ana busara. mwanamke mwenyewe anatakiwa kuwa na uwezo wa ku-handle hiyo situation (kukataa).
 
Mvaa Tai,

Nilikuwa nadhani kuwa wewe u mtu mwenye umri uliomaliza ujana tayari?
 
Last edited by a moderator:
hahahaa...

U know its fascinating.......maana, kama KWELI watu wanatembea na wake za watu definately wanawatongoza kwanza. Kinachotokea ni kwamba kwa mfumo wetu mtongozaji anaweza kujisifia kwa marafiki zake...mtongozwaji hawezi kusema.....lakini ni ukweli upo peupe.....ukiona umeambiwa basi hajampenda,
 
mke wako amepevuka kiakili ndio maana hakwambii.
 
Lazima wake zetu wanatongozwa sema kuna wakati hawasemi. Hulka ya mwanaume ni kutoridhika na yule alienae, so atakae ingia line anatongoza no matter ameolewa au lah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom