Sisi wake zetu hawatongozwi??

Sisi wake zetu hawatongozwi??

ukiona mkeo kakwambia ujue aidha ni kweli katongozwa ama umepunguza kumjali na kutambua thamani yake hvyo akaona ni njia ya kukukumbusha...

hii inawea kua kweli tulifikirie kwa upande wa pili washiringi wanaume wenzangu!!!
 
hii inawea kua kweli tulifikirie kwa upande wa pili washiringi wanaume wenzangu!!!
wanaume wanasema moja kwa moja yanayowasibu lakini wanawake hawawezi hivyo hutafuta njia mbadala ya kusema wamaanishacho
 
Lakini si ni vizuri kumshirikisha mmewe kwa majaribu anayoyapata ili amuweke kwenye maombi?

hilo unalolifikiria ni mara chache sana, mara nyingi ni kuleta magomvi na chuki, na wanaume mlivyo na wivu mbaya weee.. acha kabisa.
 
ha haaa, kuna kakangu aliwahi sema kuwa siku mkewe akija kumwambia kuwa fulani kamtongoza ndo siku atakayompa kibano, maana atajua kabisa kuwa huyo kamwambia sababu hamtaki, anayemtaka hatamwambia......

Ukweli mimi sioni sababu ya kumwambia mume fulani kanitongoza, ili iweje?

Mkwe twende PM nikakutongoze.
 
labda mkeo sio mzuri. umeoa polygob hakuna anayevutiwa naye

Hakuna mwanamke asiyevutia watu wote kijana. ndiyo maaana kuna vichaa wanamwagika Udenda mabarabarani lakini huwa wanapata uja uzito
 
Kutongoza ni kitu serious bana!!! achana na ile hali ya kumtania mwanamke

Pamoja...

lkn ukweli unabaki palepale .......huwezi kujua thamani ya kitu ulichonacho ndani..... kama hujatembea tembea...

Tembea uone mambo...tembea ushangae.
...

Ukirudi ndani unamwona mwenzio mtamu balaaaaaa...au kinyume chake.....
 
Na unapotongozwa huwa unarespond kivipi?

Je, kuna ambao huwa unawapenda na kuwapa walau kanafasi kakuongea na ku flirt nao?

Na wale ambao huwafeel je? Huwa unawatolea nje papo hapo au?

Je, kuna ambao wamewahi kukutongoza na ukawakubalia? Hapa kama vile najua jibu lake lakini potelea mbali....I'll ask anyway....

Tehe!!!!!
 
Usipende kutumia uwingi pasipo na ukweli usijidanganye hakuna mwanamke hata awe serious vp hatongozwi?? kila mwanamke ana level yake wewe ndo unaona huyu hawez nikubalia ukijilinganisha lakini wapo watu wanaona kabisa wakienda wana nafasi na kweli wanakubaliwa na wanapewa na haijalishi uyo ni mke wa mtu au la!!!!
Best umenena, hata hao unaosema wewe wanatongozeka kirahisi kuna watu wanahaha jinsi ya kuwaanza
 
Mie mbona sitongozwi? Au mie zamadamu?
Kongosho nina mazungumzo nawewe seriously naomba nikutafute weekend yeyote popote ulipo, imenichukua mda mrefu sana kujizuia haya yanayonisibu nahisi itakuwa ni hatari sana kwa afya yangu nikiendelea kujizuia kukuambia, Tafadhali naomba uniokoe.
 
Last edited by a moderator:
ukiona hutongowi ujue unatakiwa utongoze wewe.

Yani kamke kangu navokaona, sijui kama kanatongozwa asee. Mi mwenyewe kukatongoza nlisaidiwa sana na nguvu ya Konyagi.

Umeshatoa siri, subiri mda si mrefu utaona katakapo anza kiburi ndani ya nyumba.
 
Nimecheka kwa nguvu hadi watu wamenishaangaa.

Angalau nimetoa nuksi, sasa sijui nianze kuuma vijani au kucha?

Kongosho nina mazungumzo nawewe seriously naomba nikutafute weekend yeyote popote ulipo, imenichukua mda mrefu sana kujizuia haya yanayonisibu nahisi itakuwa ni hatari sana kwa afya yangu nikiendelea kujizuia kukuambia, Tafadhali naomba uniokoe.
 
Last edited by a moderator:
Mwanyasi amini kwamba matendo yako yanaweza sababsha mtu kufanya ambacho wala hajawah waza kukutendea na hata baadae akajshangaa na kujuta kwann kafanya hvo.
 
Last edited by a moderator:
Nimecheka kwa nguvu hadi watu wamenishaangaa.

Angalau nimetoa nuksi, sasa sijui nianze kuuma vijani au kucha?

Usinicheke naomba tuhamie PM nadhani Mungu ana makusudi flani
 
ungependa uwe unaambiwa? Kifua unacho? shukuru Mungu huna hiyo habari na amini tu haipo kwako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom