Sisi wake zetu hawatongozwi??

Sisi wake zetu hawatongozwi??

...anayesema anataka kujichotea maujiko kuwa ni mwaminifu ila ana yake ya siri huwa hayasemi

...wanaume ishini na wake zenu kwa akili
 
ha haaa, kuna kakangu aliwahi sema kuwa siku mkewe akija kumwambia kuwa fulani kamtongoza ndo siku atakayompa kibano, maana atajua kabisa kuwa huyo kamwambia sababu hamtaki, anayemtaka hatamwambia......

Ukweli mimi sioni sababu ya kumwambia mume fulani kanitongoza, ili iweje?
Hahaa nimecheka sana, kwamba anaowataka na kuwakubalia ni siri yake asio wataka lazima awasemee kwa muwewe
 
ndio.
Mimi sijawahi mwambia mume wangu kuwa nimetongozwa hata siku moja.....
unadhani kweli nakaa miaka yote hii sitongozwi?
lakini kwa nini nimwambie?
Lakini kuna wanaume wengine wanajisikia raha sana wakisikia mke wake anawasumbua watazamaji
 
hakuna mwanamke asiyetongozwa, awe binti, awe na watoto, awe na mume na watoto, awe wa makamo. ila ni msimamo tu wa mwanamke, na background yake.
 
  • Ni kweli ukitaka uambiwe utaambiwa kwa yule ambaye mdada hamtaki kabisa, Ila kwa wengine hutaambiwa.
  • Kisha utajisikiaje kila ukiwaangalia jamaa unajua huyu jamaa alimtongoza mke wako? Kisha unakuta labda keshapatana na mkeo na wanaongea vizuri tu si ndo unakaribisha PB wakati bado ni mdogo?
  • What if ni bosi wake na wanaenda safari pamoja na unajua alishamtongoza? Si ndo kupiga simu kila dakika kuuliza umefika wapi?
 
Sasa akikuambia fulani kanitongoza utafanya nini? mwanamke kutongozwa haikwepeki hata kama ni mke wa mtu ili mradi ni mwnamke atatongozwa tu suala la kukuambia fulani kanitongoza atakuambia wangapi pengine wengine ni rafiki zako tayari atasababisha ugomvi usio na maana,kwanza mimi sipendi hiyo tabia mwanamke anakuja kuniambia et fulani am amenitongoza,ni suala lake kukataa kama anatunza uaminifu baasi!
 
hakuna mwanamke asiyetongozwa, awe binti, awe na watoto, awe na mume na watoto, awe wa makamo. ila ni msimamo tu wa mwanamke, na background yake.

Lakini si ni vizuri kumshirikisha mmewe kwa majaribu anayoyapata ili amuweke kwenye maombi?
 
  • Ni kweli ukitaka uambiwe utaambiwa kwa yule ambaye mdada hamtaki kabisa, Ila kwa wengine hutaambiwa.
  • Kisha utajisikiaje kila ukiwaangalia jamaa unajua huyu jamaa alimtongoza mke wako? Kisha unakuta labda keshapatana na mkeo na wanaongea vizuri tu si ndo unakaribisha PB wakati bado ni mdogo?
  • What if ni bosi wake na wanaenda safari pamoja na unajua alishamtongoza? Si ndo kupiga simu kila dakika kuuliza umefika wapi?

Hii inasaidia kumuweka Mkeo katika maombi
 
Sasa akikuambia fulani kanitongoza utafanya nini? mwanamke kutongozwa haikwepeki hata kama ni mke wa mtu ili mradi ni mwnamke atatongozwa tu suala la kukuambia fulani kanitongoza atakuambia wangapi pengine wengine ni rafiki zako tayari atasababisha ugomvi usio na maana,kwanza mimi sipendi hiyo tabia mwanamke anakuja kuniambia et fulani am amenitongoza,ni suala lake kukataa kama anatunza uaminifu baasi!
Angalia Comment namba 29
 
Usiri katika mahusiano ya kimapenzi au ndoa ni kitu kinachojenga heshima sana katika mahusiano ya kimapenzi au ndoa. Si kila kitu (kibaya au kizuri) katika ndoa utaenda kumweleza mwenza wako, huwezi jua atakusomaje............
 
Well said!!!
 
Hivi kutongoza ni issue? Issue ni kukubali ukijijua kabisa wewe ni mke wa mtu. Kuna wanaume wanatongoza kwa burudani tu asikie dada atasemaje.

Huwa lengo la kutongoza ni nini?
Ukitongoza akakubali (kwa maelezo yako huwa unatongoza kutania) inakuwaje?
Halafu we Mpitagwa gwalamsha sebho!
cc: Baba V
 
Last edited by a moderator:
ukiona mkeo kakwambia ujue aidha ni kweli katongozwa ama umepunguza kumjali na kutambua thamani yake hvyo akaona ni njia ya kukukumbusha...

hapo kwenye red Ukimpotezea au ukamwambia pole inakuwaje?
 
Vitu vingine sio vya kusema.
pays%20to%20keep%20your%20mouth%20shut.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom