Je tatizo ni wasanii au producers wa nyumbani kwetu wanashindwa kuwa wabunifu au tumeshadumaa Ubongo kwa kuiga kila kitu bora hata Kenya wana midundo yao ikipiga unajua mzigo wa Kenya huu likewise na Uganda.Kanuni ya maendeleo ktk maisha ni mdogo kumuiga mkubwa na siyo kinyume chake.Ndiyo maana mtoto akifanya jambo zuri la kikubwa hupongezwa na kuambiwa ana akili nyingi lakini mkubwa akifanya jambo la kitoto hudharauliwa. Hivyo usitegemee SA au Nigeria au USA au ulaya wakuige wewe bali wewe ndiyo unatakiwa kuwaiga wao.
Ni hivi, jamii iliyoendelea kiuchumi na kijamii haiwezi kuiga kitu kutoka jamii ya chini yake. Kwa mfano Waingereza hawawezi kuiga mila yako yoyote ila wewe mTZ utaiga ya kwao.Je tatizo ni wasanii au producers wa nyumbani kwetu wanashindwa kuwa wabunifu au tumeshadumaa Ubongo kwa kuiga kila kitu bora hata Kenya wana midundo yao ikipiga unajua mzigo wa Kenya huu likewise na Uganda.