LightYagami
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,825
- 1,493
US$1.2 billion + US$1.46 billion = US$ 2.66 billion
Hahahahaha, utazidi kuumia sana. Ngoja nikupe ratiba ya mwaka huu.US$1.2 billion + US$1.46 billion = US$ 2.66 billion
View attachment 1089607
Wehu ni wale wanaochinjana kila "election" na kubaguana kwa misingi ya ukabila.Hahaha eti bullet train. Watu wengine ni wehu
Cc #2
Kila election? Lete ushahidi! Kenya si kama tz mnachinja wenye ulemavu wa ngozi na watoto wasio na hatiaWehu ni wale wanaochinjana kila "election" na kubaguana kwa misingi ya ukabila.
Naona wewe ni team 'tuna'. 'mki' tutaongea. I am waitingHahahahaha, utazidi kuumia sana. Ngoja nikupe ratiba ya mwaka huu.
1)Mwezi huu tunafungua the biggest and most modern Airport in EA.
2)Mwezi November Tunazindua the first bullet train in Africa.
Andaa passport, haturuhusu IDs.
Hahahahaha, ninyi mnaongoza Africa kwa ugaidi na police shootingKila election? Lete ushahidi! Kenya si kama tz mnachinja wenye ulemavu wa ngozi na watoto wasio na hatia
Kwani ninyi sio hivyo?Naona wewe ni team 'tuna'. 'mki' tutaongea. I am waiting
na morocco wana bullet train, so yenu mkizindua haitakuwa first
Kwani ninyi sio hivyo?
Lamu port...tuta.
Mombasa Nairobi....tuta
Southern by pass...tuta
Nairobi BRT....tuta
Hahahahaha, hahahahaha, hahahahaha.
Sina uhakika kama Morocco ipo kusini mwa jangwa la sahara. Please andaa passport tunazindua the most modern and Sophisticated Airport in Africa tarehe 27 mwezi huu.
Hahaha boss you need to be informed....Si kupayuka tu!Kwani ninyi sio hivyo?
Lamu port...tuta.
Mombasa Nairobi....tuta
Southern by pass...tuta
Nairobi BRT....tuta
Hahahahaha, hahahahaha, hahahahaha.
Sina uhakika kama Morocco ipo kusini mwa jangwa la sahara. Please andaa passport tunazindua the most modern and Sophisticated Airport in Africa tarehe 27 mwezi huu.
"will open for operations in 2020" Future tense hence "tuta"Hahaha boss you need to be informed....Si kupayuka tu!
Lamu Port-First of 3 berths opening November. 2 other berths will open for operations in 2020
Mombasa/Nairobi Expressway-Contract already signed my friend. Construction beginning next month
Southern Bypass-Im not sure which one is this, Nairobi or Mombasa...Nairobi Southern Bypass completed more than two years
ago. Mombasa Phase 1 Dongo Kundu Souhern Bypass complete and in use. Phase 2 and 3 under construction.
Nairobi BRT-All the current roads in Nairobi under construction have BRT in them. So watch out for this in the coming months
Where is Bagamoyo Port? .....
Kazi yenu ni kutangaza tu na inabaki kuwa mkingoja kwa karne moja...Poleni
"will open for operations in 2020" Future tense hence "tuta"
Papayo amekupea more infoKwani ninyi sio hivyo?
Lamu port...tuta.
Mombasa Nairobi....tuta
Southern by pass...tuta
Nairobi BRT....tuta
Hahahahaha, hahahahaha, hahahahaha.
Sina uhakika kama Morocco ipo kusini mwa jangwa la sahara. Please andaa passport tunazindua the most modern and Sophisticated Airport in Africa tarehe 27 mwezi huu.
Hahahahaha, Mimi nimemjulisha kwamba mwishoni mwa mwezi huu wa May tunazindua " the biggest and most modern Airport in EA, yeye anasema sisi kazi yetu ni ..tuta.... Wewe unaniletea habari ya 2020, kama mradi unaozinduliwa mwishoni mwa mwezi huu anasema ni ...tuta.. sasa wewe wa 2020 tutaitaje?.Hahaha boss you need to be informed....Si kupayuka tu!
Lamu Port-First of 3 berths opening November. 2 other berths will open for operations in 2020
Mombasa/Nairobi Expressway-Contract already signed my friend. Construction beginning next month
Southern Bypass-Im not sure which one is this, Nairobi or Mombasa...Nairobi Southern Bypass completed more than two years
ago. Mombasa Phase 1 Dongo Kundu Souhern Bypass complete and in use. Phase 2 and 3 under construction.
Nairobi BRT-All the current roads in Nairobi under construction have BRT in them. So watch out for this in the coming months
Where is Bagamoyo Port? .....
Kazi yenu ni kutangaza tu na inabaki kuwa mkingoja kwa karne moja...Poleni
Andaa passport uje uone the most sophisticated Airport in Africa tarehe 27 mwezi huuPapayo amekupea more info
Na umesema first in africa, check your post
Biggest with peanuts air traffic...2.5M!!!!Hahahahaha, utazidi kuumia sana. Ngoja nikupe ratiba ya mwaka huu.
1)Mwezi huu tunafungua the biggest and most modern Airport in EA.
2)Mwezi November Tunazindua the first bullet train in Africa.
Andaa passport, haturuhusu IDs.
Hahahaha......jinsi vile tu mnasema SGR yenu itaanza operations Disemba...Ikianza operations ukuje unitag...Nasikia imekwamia kichakani na mturuki ametoroka...Hahahahaha, Mimi nimemjulisha kwamba mwishoni mwa mwezi huu wa May tunazindua " the biggest and most modern Airport in EA, yeye anasema sisi kazi yetu ni ..tuta.... Wewe unaniletea habari ya 2020, kama mradi unaozinduliwa mwishoni mwa mwezi huu anasema ni ...tuta.. sasa wewe wa 2020 tutaitaje?.
Kuhusu Lamu port, the work is going on hakuna hata gate moja iliyokamilika, actually Lamu port is a big white Elephant like it's twin sister SGR, iliyoanza kwa hasara, kamwe haitomalizika.
Kuhusu BRT, hiyo ni ndoto ya mchana, kama mlivyosema kwamba mtaweka Umeme katika SGR, sasa hata kumalizia kufikisha Kisumu mumeshindwa, mumeamua kuutelekeza porini baada ya wachina kuona mradi haulipi ni "white elephant". Stop dreaming things which you can't get them.
Ukiwa na ID ya KE imetosha. 27th I am waitingAndaa passport uje uone the most sophisticated Airport in Africa tarehe 27 mwezi huu
Hakuna bagamoyo port bro mbona mlishamabiwa Au unatafuta storyThat is the only thing you could see in that entire statement...You couldn't see the ones launched and in operation.
You couldn't even show me a cm of Bagamoyo port.
Next time do a lil bit of research...don't expose your ignorance here!
Poyoyo sikiliza,brt haijawah tengeneza hasara,ni ile shida ya buses kua chache kuliko abiria. ..Hahahaha......jinsi vile tu mnasema SGR yenu itaanza operations Disemba...Ikianza operations ukuje unitag...Nasikia imekwamia kichakani na mturuki ametoroka...
Hiyo BRT yenu mmeshindwa ku-operate,imekuwa ikitengeneza hasara tu, SGR ndiyo mtaeza?
Halafu unalialia hapa Lamu Port...First of 3 berths being launched in November...Nionyeshe Bagamoyo Port hata!
Utaishi kutokwa na povu hadi lini?