Sisi ndio wanaume bwana!

naendelea kuifuatilia sredi "mama" ya wanaume.....!

hongera sana odm kwa kuja na kitu "comprehensive" na cha kipekee kabisa....!
inanikumbusha mmu "by then"

will comment it very shortly
 
Ahsante sana Bashaija kwa kudadavua pointi kwa pointi thread yangu. Umetumia nguvu nyingi kushabikia hoja zako. Na ma-likes ya kinamama umeyakamata kiukweli. Kiukweli pointi ulizoziandika hapo hazimzungumzii mwanaume! huyo atakuwa gumegume!!

Tukirudi kwenye hoja, sikuwa na nia ya kuwadhalilisha wanawake au kuonyesha uanaume wa mwanaume hauna mkono wa mwanamke. Mbu, MJ1 na wengine kama mngesoma thread kwa makini mngeliona hilo. Ulikuwa ni shauri kwa vijana wanaokaribia kuwa wanaume wasidhani uanaume ni lelemama! Ni zaidi ya hapo. Kutimiza au angalau kujitahidi kutimiza matakwa ya uanaume ndo hasa lilikuwa lengo langu.

Ukizoma kwa makini hoja za bishanga hapo juu ilikuwa ni kujaribu kukrashi points zangu na kuzitafutia mbadala wake kwa ubaya. Bishanga, ikiwa mtu anayatimiza yote niliyoyaandika, hapaswi kuwa mwanaume wa mfano wa kuigwa? Sasa huo si uanaume?

Sasa ndugu yangu Bishanga:
1. Kuwa rijali siyo sifa ya mwanaume? Kumridhisha mkeo siyo sifa ya UANAUME?
2. Mwanaume hapaswi kuwa na maamuzi
3.Mwanaume hapaswi kuwajibika?
4. Mwanaume hapaswi kubadilishana mawazo na wanaume wenzake?
5. Kwa hali halisi bila kudanganyana, hizi cheatings tunazishuhudia kila uchao. Mwanaume akicheat anapaswa afanye hadharani mpaka mkewe aone?

Anyway, kiukweli na bila kutafuta attention za wanawake, Kama Mwanaume hafanyi niliyoyataja na waliyoyataja wanaume wenzangu na nikayaunganisha kwenye thread, basi mi ntaendelea kuwa na msimamo ule ule kuwa huyo SI MWANAUME! kiukweli atakuwa amezaliwa mwanaume kwa bahati mbaya!

Narudia tena, sikuwa na nia ya kuwadhalilisha wanawake na wala sikuwa na nia ya kutamba kuwa UANAUME wa mtu hauna mkono wa mwanamke nyuma yake.

Baada ya kusema hayo, sasa nategemea kupata ma-LIKES ya kufa mtu toka kwa kina mama.
Ahsanteni kwa kunisoma.
Sisi ndio wanaume bana!

Naruhusu maswali matatu.
 
Babu duh naona siredi inazidi kupata tuu mwelekeo mpya
Nafikiri hapa ni kupishana tuu kwa kauli na kila thread ya mmoja wenu ina yake ya kukubalika na kutegemewa
Na kubishana kwetu hapa ni katika kufikia muafaka wa mwanaume halisi ni yupi
Sidhani hata kuwa mwanaume halisi hana mapungufu yake na kuwa mwanaume halisi yuko perfect kwa kila anachokifanya
Mwanaume wa aina yako Babu kuna sehem naye ana mambo yake ambayo ni mapungufu na ambayo hayaondoi uanaume wake na mwanaume wa aina ya Bishanga naye ana mambo yake tena yanayomrudisha kwenye uanaume wake japo mapungufu anayo
Ushauri wangu hapa ni kuwa yote yaliyochangiwa kweney topic hii na ya Bishanga yana umuhimu wake na ni kila mwanaume halisi anayejitambua kuwa yeye ni mwanaume ayachukue na kujiangalia ni wapi anakosea na wapi anatakiwa achukue hatua haraka kurudi kwenye uanaume wake
Na hapo hapo kumpa nafasi mwanamke kama mwanamke na sio chombo au kifaa ambcho hakina uhai au thamani katika maisha ya mwanaume

Ni hayo tuu ila Babu usiniachie laana
 
Good Morning Mr. Rocky!!
 
Morning Bro
Hope weekend yako ilikuwa njema
:focus:
Ukiondoa Hangover.......... Nilutumia uanaume wangu vizuri!
Kuna mtu amenionea shem wangu ADI?
Mkimwona mwambieni namsalimu eti....
 
Ukiondoa Hangover.......... Nilutumia uanaume wangu vizuri!
Kuna mtu amenionea shem wangu ADI?
Mkimwona mwambieni namsalimu eti....

Hiyo kawaida lazima uutumie na kama umeshindwa kuutumia sio mwanaume ni mvulana
AshaDii hajaonekana weekend njema sijui kunna mtu alikuwa nae weekend hii
 
Hiyo kawaida lazima uutumie na kama umeshindwa kuutumia sio mwanaume ni mvulana
AshaDii hajaonekana weekend njema sijui kunna mtu alikuwa nae weekend hii
Kuna mwanaume anaenda kwa jina la kaizer..... lazima atakuwa aliutumia uanaume wake na shem wangu.....

Ngoja ni-dial some numbers.
 
Kuna mwanaume anaenda kwa jina la kaizer..... lazima atakuwa aliutumia uanaume wake na shem wangu.....

Ngoja ni-dial some numbers.


Sasa na wewe na shem wako unamtafutia nini
Si umuache akae na jamaa yake wale raha zao
Au unaona wivu kwake
 
Aseeee.......Mwanume gani unakuwa huna hangover jumatatu??

Pambafu!! sasa weekend yote ulikuwa unafanya nini?
 
Sasa na wewe na shem wako unamtafutia nini
Si umuache akae na jamaa yake wale raha zao
Au unaona wivu kwake
Nlikuwa namsalimu tu....... mi najilia vyangu na Soulmate wangu Gaga!
 
Aseeee.......Mwanume gani unakuwa huna hangover jumatatu??

Pambafu!! sasa weekend yote ulikuwa unafanya nini?
Hahahahaha...........NimeSTUKA!

Ngoja nika do the needful hapo Port View.

Hangover Nyambaf sana!
 
Angalia power window hapo Port view!!!
Biya na konyagi ni mbaya!!!
 
Odm is still nursing hangover. Si unajua mwanaume hatakiwi kuwahi nyumbani! Wanajishangaa wanakufa haraka wanatuacha tunakula maisha! Simba mwenda pole hufaidi aisee!
Haa haa kumbe uliiistukia eeee!
Ngoja waendee kujidanganya watuachie tufaidi maisha lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…