Sishauri mtu kusoma PhD OUT


Kusoma PhD Bongo nikutafuta stress
 
OUT ukisoma ukiwa waziri au mbunge, una graduate wiki ijayo
 
Hata ukiwa na lolote lile ni tatizo huenda mchepuko wako kakuzunguka sababu unasumbua na hata kazini Kuna wachawi Wana shida sana utakuta hataki usogee
 
Wanasiasa nchi hii wameshaishindwa kabisa,imagine,imagine mkuu wa pale yupo kisiasa na Chancellor sijui nae vipi
 
Supervisor akiona kazi yako haina jipya ni AI 75%, copy and paste 85%, haina mchango kwa chuo wala Taifa; hakika atakufanyia hayo yote. Kwa UDSM ungeshadisco; bora OUT wanakuvumilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…