Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,676
- 47,024
Mimi sijasoma ila OUT nilikiweka kwenye level ya vyuo kama Veta tu kitambo sana ngoja niwasikilize wasomi wanasemaje yaani mtu unatoa hela usome OUT au wamebadilika sasa hivi.
pia changamoto vyuo vikubwa kama UDOM,UDSM havina PhD ya full online kama vyuo vya ulaya hata ya bila coursework utatakiwa kuattend tu chuo vyote hata ESAMI wana masters lakini 16M au zaidi kama ada tuMimi sijasoma ila OUT nilikiweka kwenye level ya vyuo kama Veta tu kitambo sana ngoja niwasikilize wasomi wanasemaje yaani mtu unatoa hela usome OUT au wamebadilika sasa hivi.
mkuu hivi ni vyote lazima uende chuo na sio online lakini vingine ndio vinapigiwa kelele ya usumbufuKuna vyuo vizuri tu hapa afrika mashariki kwa kozi za phd
1. Udsm
2. Mzumbe
3. Makerere
4. Kampala international university kwa upande wa uganda
5. Egerton
Vyuo vikongwe vya kenya ni bora tatzo sasa "ada" maji utayaita jiii..
Lakn uganda ni the best na ada ni ya chini , tena hawana ukiritimba wa kipuuzi kwa postgraduate.
Nani alikwambia ili uwe Doctor lazima usomee utabibu?Huwa nashangaa inakuaje mtu ana PHD haihusiani mambo ya utabibu ila anaitwa Dr et🤔
Ndiko alikosoma BALILE?Katika makosa niliyofanya katika maisha ni kujiunga na masomo ya PhD pale Open University of Tanzania. Ningelijua ningeeda UDSM. Kwa matatizo ninayopitia sishauri mtu akasome PhD pale OUT.
Chamgamoto nilizopitia ni kama ifuatavyo:
1. Supervisor kutojibu email zangu au hata sms kwa zaidi ya mwaka mmoja.
2. Supervisor kukaa kimya bila kupitia proposal kwa zaidi ya mwaka mzima na Wala hajali. Unamtumia kazi zaidi ya mara kumi ila hajibu na yupo kimya kana kwamba hakujui.
3. Process ya kubadilisha supervisor ni ngumu Sana, unaweza kukaa mwaka mzima unahangaika tu. Nilijaza fomu ya kubadilisha supervisor wakaa kimya, nilipowakomalia wakanipa fomu nyingine, stori ikaishia hapo.
4. Yule mdada au secretary wa ofisi ya post graduate research wa OUT ana dharau Sana. Ukimpigia simu hapokei na hata akipokea akajua ni wewe ana kata simu yako. Yule dada ni shida Sana.
5. Kwa sisi tulioko mikoani ni shida kusoma PhD OUT. Hawajali kabisa. Na ukisema usafiri kwenda huko Dar utazungushwa mpaka uchoke. Nimeenda Dar kituoni kwao pale Biafra ni shida tu hakuna la maana la kunisaidia.
Kutokana na OUT kunisumbua kwa muda wa miaka mitatu huku ada yangu wamekula ila kunisaidia kwao wanaona mzigo au usumbufu kwakweli ni Bora niache kusoma hiyo PhD nifanye mambo mengine. Ila wamenipotezea muda, hiyo miaka mitatu imeenda Bure. Yani miaka mitatu unahangaika na proposal haijawahi kusahishwa hata kusomwa tu na supervisor. Ukienda ofisini kwao Biafra unaambiwa supervisor wako hayupo amesafiri.
7. Kwa kweli OUT mnakatisha tamaa, mtu anakuwa kama hasomi PhD. Kama uwezo wa kusimamia tafiti za wanafunzi wa PhD hapo si mnamwambia mwanafunzi atafute chuo kingine kuliko kupoteza muda wa mtu.
Wanamaliza tena mapema kuliko hivyo vya umma vyenye urasimu.vinatoa lakini sasa ndio hatujapata mrejesho kama watu wanamaliza au la
Hiyo ndiyo Open UniversityOpen university ni upuuzi mtupu walini potezea muda ikabidi niache chuo ni upuuzi watu wanajiona miungu
Aina ya ma lecturer tulio nao , wanataka kuona wanafunzi wanateseka, ka wao walivyopata shida wakati wanafunzi. Badala wa muwezeshe mwanafunzi ku gain credible knowledge, wao wanataka ateseke?
Kuna todauti kubwa sana na vyuo vya UK na hapa. Dunia mbili tofauti kabisa
Kuna vyuo vizuri tu hapa afrika mashariki kwa kozi za phd
1. Udsm
2. Mzumbe
3. Makerere
4. Kampala international university kwa upande wa uganda
5. Egerton
Vyuo vikongwe vya kenya ni bora tatzo sasa "ada" maji utayaita jiii..
Lakn uganda ni the best na ada ni ya chini , tena hawana ukiritimba wa kipuuzi kwa postgraduate.