Sishauri mtu kusoma PhD OUT

Ndugu yangu scholarships za Phd na Masters zipo kibao kwa nini unahsngaika kusoma Tanzania
 
Mkuu sijui unafeli wapi? Unasoma PhD na unalalamika upo serious kweli? Unafikiri supervisor wanakula email?
Tengeneza na weka mazingira supervisor wako akutambue na siku moja moja akupigie simu akijidai amekosea au anataka kukusalimia tu!
Mmmh mkuu fafanua hii. Unamrengrnrzea vipi
 
Hivi kweli mtu unatoa ada yako kwenda kusoma open university ya Tanzania, kile chuo ni cha wazee wa vitengo serikalini na bungeni kwaajili ya kustaafu na position nzuri au heshima, hata kazi kuna ambazo zikitangazwa hawataki kabisa waliosoma long distance learning kwa sababu inajulikana hakuna kinachosomwa huko zaidi ya kununua vyeti...by the way huyo secretary ni mchepuko wa nani hadi apate kiburi hivyo, jumatano nikachukue joining instruction yakimagumanishi nimwone tu 😀
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…