Sishauri Forker 50 na Forker 28 ziwe 'Branded' kama Ndege za Kibiashara za ATCL


Huwa nafurahi na napenda mno kukutana na ' Genius Members ' kama Wewe na baadhi hapa Jamvini JamiiForums. Mkuu uko vizuri ' Upstairs ' kiasi cha kunifanya nihisi labda na Wewe una ' Vinasaba ' vya Kiyahudi ( Israel ) ni ' nadra ' sana kukutana na Watu makini hapa Jamvini kama Wewe ila ni kawaida kukutana na ' Mipopoma ' ambayo yenyewe Kazi yao ni Kutetea tu hata kama ni ' Upuuzi ' ili mradi tu walinde ' Vitumbua ' vyao wakati badala ya kuzitumia vyema ' Akili ' zao katika ' Kupambanua ' na ' Kuchanganua ' mambo ili basi waweze Kumsaidia ' Master ' wao wanaemnyenyekea na kumlamba Miguu kila Uchao.

Cc: commonmwananchi , narumuk
 
hamna lolote bla bla tuu, leo umeingia cha kike kwa kusaka kwako sifa!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilitegemea nikutane na uchambuzi makini labda juu ya gharama za uendeshaji wa hizo ndege au usalama wake kumbe ngonjera tu.
 

Siyo kwamba najifanya nina ' Akili ' bali ukweli na uhalisia ni kwamba nina ' Akili ' kiasi kwamba nina uhakika ungekuwa nazo angalau hata robo yake ' ungeringa ' kama siyo ' kutamba ' sana ila bahati mbaya Kwako wakati Mwenyezi Mungu ' anatubariki ' nazo Sisi wengine hakuona umuhimu wowote wa kukupa na Wewe na ndiyo maana hadi sasa unatudhihirishia ' Ufulu Ngenge ' wako hapa.
 
hizi ndege mbili Forker 50 na Forker 28 zinatumika na makamu wa Rais na nyingine Waziri Mkuu na ile iliyonunuliwa wakati wa Rais Mzee Mkapa chini ya waziri wa fedha Bazil Mramba(hata kama ni nyasi wananchi watakula lkn ndege ya rais ni lazima Bungeni) ndiyo inayotumiwa na Rais wetu John Maguful
Ni kwa nini watu wanalalamika ni kwa sababu kwanza ndege moja tulipewa kama zawadi na Malkia wa Ungereza kwa Rais wetu wa kwanza Mzee hayati Mwalimu Nyerere na ndani ya hiyo ndege ni VIP na imetenganishwa na vinyago vyenye uhalisia wa nchi yetu, kwa hiyo ni heshima na kumbukumbu kuendelea kuzitunza kwa matumizi sahihi ambayo ni kwa ajili ya viongozi wakuu wa nch na siyo kuzipeleka kwenye biashara
Tufanye biashara na hizi ndege sita ambazo tunazo kwa sasa na tuangalie maendeleo yake na ikiwezekana basi hizo hizo sita zijiendeshe zenyewe na ziweze kujiongeza ikiwezekana kila miaka 3 ziweze kununua nyingia moja
 
Mleta mada ilibidi aje na hoja kama hizi angeeleweka, kwa kuongeza hiyo Fokker 28 iuzwe tu kabla haijatufia jumla.
 

Sidhani kama ' Wapuuzi ' waliojazana hapa watakuelewa kwa hili ila kwa Sisi ' Werevu ' wenzio na ambao kwa bahati mbaya sana hapa tuko wachache tumekuelewa vizuri kabisa kwa hiki ulichokiandika. Hongera Mkuu uko vyema.

Cc: commonmwananchi , narumuk
 
Mleta mada ilibidi aje na hoja kama hizi angeeleweka, kwa kuongeza hiyo Fokker 28 iuzwe tu kabla haijatufia jumla.

Kama sikuja na Hoja hiyo kuna tatizo gani Mtu mwingine akija nazo na Kuzijazilia kama huyo unayempongeza hapo? Mbona Wewe tokea uanze Kuchangia huu Uzi hakuna Hoja yoyote uliyoitoa hapa zaidi tu ya kila mara ukija unasema sijaweka Hoja katika Uzi wangu? Hivi baada ya Mimi labda ' Kuchokoza ' Mada hii Wewe ambaye umeona ' Mapungufu ' yako ulishindwa nini sasa kutuonyesha jinsi ulivyo ' Genius ' ili uje na ' Facts / Data ' zako za Kutosha kama walivyofanya Watu wengi hapa ambao wamekuzidi upeo / fikra? Idiot!
 
Yani kuna watu akili zao sipo chini sana tena sana sasa Rais anakuwa na ndege tatu za nini si bora zilete pesa zifanye kazi nyingine kuliko kupaki tu hadi Rais asafiri

Sent using Jamii Forums mobile app
Ebo!!!!! Ukiskia zoba ujue ni ww, usidandie kitu usichoelewa... Rais ni taasisi, vile vile ujue hatumii yy peke yake... Kuna makamu wake, Waziri mkuu.. So Tuliza bwambwa..
 
Mkuu.
Sasa chadema imebadili jina na inaitwa chama cha machochezi .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unajua China hakuna ndege ya Rais Raid akitaka kusafiri wanachukua commercial jet wanabrand tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu!
Msilifanye hili kutafutia credits za kisiasa.
Tanzania tuna routes nyingi sana za kuitumia hii folker 50.
Viwanja kama seronera aistrip (serengeti national park).

Vinahitaji ndege kama hii. Tuna watalii kibao wa kuunganisha dsm kwenda serengeti na kurudi kupitia KIA na zanzibar.

Pia hili linakuwa ni suala la ubunifu wa kibiashara zaidi kuhusiana na mahitaji ya wakati husika.

Sio lazima ndege hizi zipangiwe permanently routine, bali zitatumika multiple sided kati ya huduma za kiserikali na business kwa ATCL kwa upande mwingine.

Viongozi wa serikali hawasafiri kila siku, hivyo sidhani kwamba viongozi wa idara husika watashindwa kupanga ratiba husika.
Na ndio maana wameajiriwa pale na sio humu JF.

Tuache wenye idara zao wawajibike, sisi acha tuwndelee kuvizia hotuba ijayo ya mh Rais kipenzi cha watanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesikitika
Pole sana mkuu
Fokker 28 ikibadilishwa viti inaweza kuchukua mpaka watu 28
Kuna route ya mafia,songea inalipa sana,inahitaji ndege ndogo kama hizo
Huna haja ya kuhuzunika Rais atabaki na ile ndege tulioambiwa hata nyasi tutakula,inamtosha,hizi zingine zilikua zinatumika vibaya tu,sasa ataehitaji atalipa,ka VP au Pm wana ziara za kikazi watatumia tu,kwa kua bado ni za serikali
 
Mkuu, tuweke historia yako pembeni, ukweli wewe ukumuelewa raisi na pia ulisahau idadi ya ndege za raisi zilizopo na mwisho, pia ulisahau kuwa ndege zina umri na uimara wa ndege upungua kadri inavyokuwa imepaki bila kuruka. UKIKUBALIANA NA HAYA NITAONA BONGE LA MDAU ANAYEJIELEWA NA KUELEWA KUWA SISI BINADAMU WOTE TUNAWEZA KUKOSEA NA TUKAJISAHIHISHA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…