GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,073
- 107,564
- Thread starter
- #201
Sio lazima uanze routes ndio ujue kama ndege ulizonazo zitatumika to full capacity; kuna wataalam wanafanya kazi yao na kujua demand ya seats za kila route. Mpaka sasa hizo safari na routes unazosema compétition ni very fierce mpaka hiyo DREAMLINER imeishia kubeba MBUZI kwenda Dubai. Hizo safari za India na China mpaka leo ni ndoto; kwani hata wakienda wana uhakika gani kuwa watakuwa na passengers na cargo ya kutosha wakati wa return leg!
Kuhusu kuziuza hizo ndege you will be better off kuziuza pale unapopata bei nzuri kuliko kuzifuga bila matumizi!! Locally mpaka sasa zile Bombardier na Airbus zinatosha kabisa na hata kuwa na excess capacity so the only rational decision ni kuuza hizo ndege za serikali kwa mbei nzuri.
Huwa nafurahi na napenda mno kukutana na ' Genius Members ' kama Wewe na baadhi hapa Jamvini JamiiForums. Mkuu uko vizuri ' Upstairs ' kiasi cha kunifanya nihisi labda na Wewe una ' Vinasaba ' vya Kiyahudi ( Israel ) ni ' nadra ' sana kukutana na Watu makini hapa Jamvini kama Wewe ila ni kawaida kukutana na ' Mipopoma ' ambayo yenyewe Kazi yao ni Kutetea tu hata kama ni ' Upuuzi ' ili mradi tu walinde ' Vitumbua ' vyao wakati badala ya kuzitumia vyema ' Akili ' zao katika ' Kupambanua ' na ' Kuchanganua ' mambo ili basi waweze Kumsaidia ' Master ' wao wanaemnyenyekea na kumlamba Miguu kila Uchao.
Cc: commonmwananchi , narumuk