Wake zetu wenyewe ni cha wote acha kututisha.Ila wanaume akili zenu matope, hivi unaanzaje kumkuta mwanamke bar ni mhudumu, ukashindwa kujuiliza ameonwa na wangapi? Hivi mnaumwa nini nyie?
ila katika viumbe ambao hawana kinyaa niwanaume, hata ukitumia kinga so long as dada ni mhudumu huyo ni cha wote.tumieni akili
Hajui asemalo huyoUngekua mwanaume usingesema ayo
HakikaHajui asemalo huyo
That's is trueWakuu hope mko fine.
Aisee sitakaa nirudie Tena. Ngoja niwape japo Kwa ufupi kilichonisibu. Ni mwezi sasa umepita. Nilipata safari ya kikazi Dodoma. Katika harakati za kitaa nikapita lounge Moja kujireflesh baada ya kuwa na siku ngumu kidogo.
Pale nikahudumiwa na dada mmoja mashalaah, umbo namba nane , miguu ya bia, Ila alikua mtulivu sana. Kwa kutumia intelejensia ya kitaa nikabaini huyu pia atakuwa mgeni pale, sikufanya ajizi baada ya huduma nikamuita nikaomba bili yangu . Ikasoma elfu kadhaa, nikalipa then kwenye risiti ya malipo nikaandika namba yangu na kumpatia huku nikimuachia change kama buku 7 na kumwambia aunge bandle na anitafute.
Mimi nikaendelea na mishe zangu. Mida ya saa 4 usiku akanicheck. Tuwekana sawa na kumuomba aje hotel nilipofikia. Mida ya saa 5 akanicheck, nilikuona una usafiri private kama hutojali njoo unifuate. Nikajibu asijali nitakuwa hapo baada ya dk kadhaa.
To make the story short, nilimwamini Kwa maneno na kipimo cha HIV test alichokua amekipiga picha. Alikua amefanya test sio zaidi ya week. Wakuu nikajilipua, nikamnyandua pekupeku. Bidada alikua mtamu, no smell in papuchi, in short alikua neat sana.
Kimbembe kikaanza siku 3 baada ya mechi miwasho hainiishi sehemu za siri, baadae kucheck ngozi ya mkuyenye imeota ukurutu, nikajua mamake yule mwanga keshaniingiza king. Nikajisalimisha hospitali nikatibiwa.
Ni mwezi Sasa, vipimo vya HIV still ni negative. Na muwasho wa fungus na UTI nao umeisha. Namshukuru Mungu kwa kunisaidia katika hilo.
Maamuzi yangu, sitokuja tena kumnyandua demu peku Kwa vigezo cheap kama nilivyovitumia. Mademu ni wazuri ila papuchi zimebeba magonjwa mengi sana.
Tuendelee kuchukua hatua. Asomaye na afahamu.
Karibu dodoma, waja na shabiby waondoka na gono😂Sidhan Kama TZ Kuna mkoa una Wanawake cheap
Afu wepesi wa kujirahisi Kama mkoa wa dodoma.
Worse enough,
Ni wazuri nje ila ndani hawajitunzi
Sijajua Ni ukame na shida ya maji au vipi
Mi mwnyw kila nikienda Dom nmekua muoga sana, Dom Ina history mbaya sn ya magonjwa ya zinaa
Itabdi tuje na Uzi rasmi
watu wa dodoma watwambie Tatizo Ni Nini kwann wageni wakikutana na dada zao kutoka salama imekua changamoto Sana
Sema Dodoma wanawake wanauza papuchi sana aiseSidhan Kama TZ Kuna mkoa una Wanawake cheap
Afu wepesi wa kujirahisi Kama mkoa wa dodoma.
Worse enough,
Ni wazuri nje ila ndani hawajitunzi
Sijajua Ni ukame na shida ya maji au vipi
Mi mwnyw kila nikienda Dom nmekua muoga sana, Dom Ina history mbaya sn ya magonjwa ya zinaa
Itabdi tuje na Uzi rasmi
watu wa dodoma watwambie Tatizo Ni Nini kwann wageni wakikutana na dada zao kutoka salama imekua changamoto Sana
Kwa nini uoe cha wote?Wake zetu wenyewe ni cha wote acha kututisha.
Si mnasemaga mnaummia sana kushare mke sasa iweje ujuwe fukani kapita hapa na wewe uingie,Ungekua mwanaume usingesema ayo
Mkuu uliuza mechi vp?Nyie mnamshangaa huyo mnazijua GENYE ?
Nilibandua mtu najua yupo kwenye medications nilivomaliza nlijutia sana na sjawah kupima 3 years sasa siku nikikuta ovyo namshtak yule mama (sio kwa Ile mitego alokua ananfanyia)
Ny*ege ni adui wa maisha mkuuMkuu uliuza mechi vp?
Bila shaka hakuombiombi helaDah...maongezi marefu kabla ya mnyanduo na mwonekano tulivu wa yule dada uliniteka kabisaa