Sirudii tena

Mi sirudii deki aisee only once and forever. Nimepata candida mdomon nipo kwwnye dose
 
Mkuu pole sana. Mimi huwa natumia kinga all the Time everywhere
 
Dodoma kumejaa wale madereva wanakitembeza nchi nzima na zile pesa zao za perdiem,

Kwa ufupi hapafai kabisa
 
Ukimwi hukosi ikipita miezi 6 hujaharisha na ukiona umeharisha na mnyeo haujatudi pahala kwake umekwisha Mana unatakiwa uharishe na Malinda yarudi kibana Kama kawa yakiwa hakuna kurudi usiisahau hiyo lodge na huyo bint
Wewe ni kijana wa hovyo
 
Mkuu jipige kifua useme kwa sauti maneno haya “MIMI SINA AKILI”
 
Ungekua mwanaume usingesema ayo
 
Wee papuchi kweli ,ina magonjwa ila kuchakata na condom ni matumizi mabaya ya hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…