ARGAN MARA
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 1,135
- 2,940
Tatizo wewe sio mwanaume . Ata nikisema hutaelewaIla wanaume akili zenu matope, hivi unaanzaje kumkuta mwanamke bar ni mhudumu, ukashindwa kujuiliza ameonwa na wangapi? Hivi mnaumwa nini nyie?
ila katika viumbe ambao hawana kinyaa niwanaume, hata ukitumia kinga so long as dada ni mhudumu huyo ni cha wote.tumieni akili
Dah, Kwa uzoefu huo tu ..sirudii TenaAcha uoga wewe! Muwasho tu na vifangasi vya hapa na pale, unataka kuahirisha kabisa kuuza mechi wakati mwingine!
Ungeanza kukojoa usaha si ndiyo ungejiapiza kabisa na miungu yako yote!
Hiyo ni changamoto ndogo tu kijana! Kula maisha, ili ukizeeka upate cha kuwasimulia wajukuu zako.
Wakuu hope mko fine.
Aisee sitakaa nirudie Tena. Ngoja niwape japo Kwa ufupi kilichonisibu. Ni mwezi sasa umepita. Nilipata safari ya kikazi Dodoma. Katika harakati za kitaa nikapita lounge Moja kujireflesh baada ya kuwa na siku ngumu kidogo.
Pale nikahudumiwa na dada mmoja mashalaah, umbo namba nane , niguu ya bia , Ila alikua mtulivu sana. Kwa kutumia intelejensia ya kitaa nikabaini uyu pia atakua mgeni pale, sikufanya ajizi baada ya huduma nikamuita nikaomba bili yangu . Ikasoma elfu kadhaa, nikalipa then kwenye rist ya malipo nikaandika namba yangu na kumpatia huku nikimuachia change kama buku 7 na kumwambia aunge bandle na anitafute.
Mimi nikaendelea na mishe zangu. Mida ya saa 4 usiku akanicheck. Tuwekana sawa na kumuomba aje hotel nilipofikia. Mida ya saa 5 akanicheck, nilikuona una usafiri private kama hutojali njoo unifuate. Nikajibu asijali nitakua hapo baada ya dk kadhaa.
To make the story short, nilimwamini
...... Namshukuru Mungu kwa kunisaidia katika ....
Mungu gani huyo unamshukuru kakusaidia kwenye uzinzi.?
Watu tunapigana mbona.,...fresh yaanUngekufa kabisa ingependeza sana,demu siku moja tu unapiga peku kmmmk
Si ndiyo hapo sasa! Kama kufa kupo tu.Watu tunapigana mbona.,...fresh yaan
Watu ni full kukojoleana ...afu fresh tu...inabaki inapwitapwita tuSi ndiyo hapo sasa! Kama kufa kupo tu.
Mwezi mmoja HIV test bado si conclusive, pima tena baada ya wiki ya 6Wakuu hope mko fine.
Aisee sitakaa nirudie Tena. Ngoja niwape japo Kwa ufupi kilichonisibu. Ni mwezi sasa umepita. Nilipata safari ya kikazi Dodoma. Katika harakati za kitaa nikapita lounge Moja kujireflesh baada ya kuwa na siku ngumu kidogo.
Pale nikahudumiwa na dada mmoja mashalaah, umbo namba nane , miguu ya bia, Ila alikua mtulivu sana. Kwa kutumia intelejensia ya kitaa nikabaini huyu pia atakuwa mgeni pale, sikufanya ajizi baada ya huduma nikamuita nikaomba bili yangu . Ikasoma elfu kadhaa, nikalipa then kwenye risiti ya malipo nikaandika namba yangu na kumpatia huku nikimuachia change kama buku 7 na kumwambia aunge bandle na anitafute.
Mimi nikaendelea na mishe zangu. Mida ya saa 4 usiku akanicheck. Tuwekana sawa na kumuomba aje hotel nilipofikia. Mida ya saa 5 akanicheck, nilikuona una usafiri private kama hutojali njoo unifuate. Nikajibu asijali nitakuwa hapo baada ya dk kadhaa.
To make the story short, nilimwamini Kwa maneno na kipimo cha HIV test alichokua amekipiga picha. Alikua amefanya test sio zaidi ya week. Wakuu nikajilipua, nikamnyandua pekupeku. Bidada alikua mtamu, no smell in papuchi, in short alikua neat sana.
Kimbembe kikaanza siku 3 baada ya mechi miwasho hainiishi sehemu za siri, baadae kucheck ngozi ya mkuyenye imeota ukurutu, nikajua mamake yule mwanga keshaniingiza king. Nikajisalimisha hospitali nikatibiwa.
Ni mwezi Sasa, vipimo vya HIV still ni negative. Na muwasho wa fungus na UTI nao umeisha. Namshukuru Mungu kwa kunisaidia katika hilo.
Maamuzi yangu, sitokuja tena kumnyandua demu peku Kwa vigezo cheap kama nilivyovitumia. Mademu ni wazuri ila papuchi zimebeba magonjwa mengi sana.
Tuendelee kuchukua hatua. Asomaye na afahamu.
Vp na wewe ulimtumia picha zako za hiv test?Nashukuru nimepewa nafasi ya pili. Mkuu usisahau Mungu ni wa rehema
Kabisaa mkuuIli nalo mkalitizame