Sirudii kushika simu ya mwanaume

Alishapeleka na barua ya posa kwenu? Au mchumba hewa?
 
Issue siyo kushika simu yangu, issue ni Mimi kuwa msafi kiasi hata akishika simu yangu kusiwe na tatizo.

Sinaga shida na issue za simu kwa sababu siwezi kurun business mbili kwa wakati mmoja.

Salamu zangu nifikishie kwa wifi mwambie hongera yake
 

Atleast unefanyika faraja asante n point taken
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…