inahitaji ujitoe ufahamu ili uwe mchangiaji jukwaa la siasa, mimi pamoja na kuijua siasa na kuwa na uwezo mkubwa kisiasa kuliko kitu chochote kule kulinishinda siku za mwanzo tu nilipoanza kushiriki, kwanza kule hakuna kushindana kwa hoja bali ni ujinga ujinga tu,nilipojaribu kuwa naanzisha mada zote zilipigwa chini pasipo sababu ya msingi huku mods wakiacha mada nyingine za kijinga kabisa,sijutii kueleza haya, nikaona nikimbie na kuhamia huku.
hahahaa mie huwa wanifurahisha sana.....kuna li jinga fulani hivi lakin nitakuja tu huko
najua hata wakinizingua you will be there
Hamia Jukwaa la Great Thinkers
mshinga upo mkuu! Sikuon sku hizi vp
hahahaa mie huwa wanifurahisha sana.....kuna li jinga fulani hivi lakin nitakuja tu huko
najua hata wakinizingua you will be there
Mama yaangu Matola in da house mie simoooooo
Mie kule naenda kwa step nimeanza step ya kwanza najongea taratiibu..kuna watu kule kama simiyu yetu na msalani dah hapana nashindwa kuwatafsiri kabisa.
Yaani bora mtu upigwe ban usiingie kabisa JF kuliko kuzuiwa ku comment. Inauma sana. Yaani ni sawa na ulale na mkeo kitanda kimoja wote mkiwa watupu halafu akunyime tunda. Pole sana Bujibuji
buku 7 fc usipokuwa nao makini utakula ban wakati wao wanapeta
Hamia Jukwaa la Great Thinkers
Mifano yako bana.....hatari sana
ni harufu tu,....