hivi hawa wanaofungia members wasitoe maoni yao wamejiunga lini?? mbona ni wa juzijuzi tu halafu ndio wanjifanya wajuaji?? me naona kazi imewashinda?Mi kule naingia kwa machale stress tupu haukawii kukosanaa na kina Matola
Sina hamu....
Yaani visiku vihache tu jukwaani nikakutana na kiziba mdomo.
Ni ku like tu ndiko walikoniachia. Hamna kukoment wala kuanzisha thread.
Bora nijirudie zangu kwenye jukwaa la Mtambuzi niendelee kula minofu ya mbuzi kama kawaida.
Mie kule kuna siku nilitolewa mkuku mku lol....
Mkuu mara ya kwanza kuingia jukwaa la siasa Ritz alinifanya nikaigwa ban la siku 30...Ila kuna watu wanakera kama akina lizabon,mingoi,simiyu yetu,Lukosi na wengine wengi dah yan kero tupu ila tunakomaa nao tu!
hivi hawa wanaofungia members wasitoe maoni yao wamejiunga lini?? mbona ni wa juzijuzi tu halafu ndio wanjifanya wajuaji?? me naona kazi imewashinda?
mfano huyu matola si ni wa juzi tu loh majanga!!
hivi hawa wanaofungia members wasitoe maoni yao wamejiunga lini?? mbona ni wa juzijuzi tu halafu ndio wanjifanya wajuaji?? me naona kazi imewashinda?
mfano huyu matola si ni wa juzi tu loh majanga!!
Mie kule kuna siku nilitolewa mkuku mku lol....
Kule ukitaka pawe pazuri isifie Chadema na uiponde Ccm na umtukane Zito mbona utapendekaaaa
Mie kule kuna siku nilitolewa mkuku mku lol....