Jamani hajapiga marufuku. Ametoa ushauri tu..
Lakini ukisikiliza hajasema ni marufuku, alichosema anawashauri kutokufanya biashara hiyo baada ya saa sita kwa usalama waoKamanda wa polisi mkoa wa Dar Simon Sirro amepiga marufuku boda boda kufanya kazi baada ya saa 6 usiku kutokana na sababu za kiusalama
[emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112]Sirro anapogeuka mwanasiasa
[emoji115]Mwenye CV ya bw. Siro please
Mbona mnapenda kuwawekea watu maneno mdomoni?, Na kwa namna wadau wanavyo comment inaonekana hawajajisumbua kupoteza mb zao kumsikiliza Siro!. Kamanda hajapiga marufuku, ameshauri, ndio maana amehusisha Na muda wa kufunga bar, kwa maana baada ya hapo hakuna wateja salama Sana. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.Kamanda wa polisi mkoa wa Dar Simon Sirro amepiga marufuku boda boda kufanya kazi baada ya saa 6 usiku kutokana na sababu za kiusalama
Anakwepa majukumu yake, maana kazi lake ni kulinda raia na Mali zao...sasa anajipunguzia kazi!!!Wenzetu huko dunia ya kwanza pamoja na maendeleo yoote.., Wanafanya kazi mchana na usiku.
Hapa TANZANIA Bw.Sirro anakataza watu kufanya kazi kwa sababu za kiusalama.
[HASHTAG]#TANZANIA[/HASHTAG]yaVi-wonder