Sirro: Lissu atahakikishiwa usalama wake atakaporejea nyumbani

Wewe ni mgonjwa! Wewe hujui kwamba hon Lissu anawindwa kama Faru? Anatakiwa kupewa ulinzi kama ule anaopewa Sulman Rushed mwandishi wa kitabu cha Aya za Kishetani. Anaulinzi wa 24hrs tena analindwa na Scotland yard.
 
Kama kutokuwepo Lissu ndio kumesababisha iwe vigumu kuwapata waliomshambulia, mbona Mo yupo na waliomteka hawajapatikana mpaka sasa?
haya ndiyo maswali ambayo media people wetu wanatakiwa wawe wanauliza.... lakini tatizo ni makanjanja wa kuuza sura tu!
 
Habari nzuri
Rudi nyumbani kumenoga tu na dereva wake nae arudi.

Si wana kuhojiwa au hawataki tena waliompiga risasi wapatikane?
Hawatapatikana kamwe kama imeshindikana kuwapata waliomteka Mo pamoja na ushahidi walionao Police ikiwa ni pamoja na mtekwa mwenyewe, gari, nyumba alimohifadhiwa, silaha, CCTV nk. LA Mo tungoje siku tatu za Rais.
 
Una ujasiri wa ajabu, yaani wasiojulikana unawaita majambazi!!!
Yeyote anayetenda vitendo vya kijambazi ni jambazi tu hata awe na wadhifa au mavazi ya thamani...
Tofauti tu ni kumuota Mkuu Jambazi... Mh. Jambazi... Kaka Jambazi... Dada Jambazi... Anko Jambazi nk...
 
Unapenda kulindwa eeh! ukute wewe ndiye mhusika mkuu wa wasiojulikana si kwa wivu huu, wewe ulindwe unatishio gani au unathamani gani kwa watanzania.
 
WAMEAMUA KUJITOKEZA UTASHANGAA MZEE MISIFA AKIHOJI KWANINI HADI LEO WAPIGA RISASI HAWAJAPATIKANA
 
Ila kumpa ulinzi wa jeshi la TAIFA lissu peke ake kama vile yeye ndio Rais wa hii nchi huo ni udhaifu wa Jeshi na kuonyesha fika kuwa sisi wananchi tusio na kitu ni BURE kabisa.
HIVI WEWE NI MWANANCHI WA KAWAIDA AU JINI MAKATA MBONA ROHO MBAYA NA CHAFU HII
 
Hizi kazi zingine aisee ukiwa na hofu ya MUNGU ni bora ukalime viazi kimazichana.
 
Wewe ni mgonjwa! Wewe hujui kwamba hon Lissu anawindwa kama Faru? Anatakiwa kupewa ulinzi kama ule anaopewa Sulman Rushed mwandishi wa kitabu cha Aya za Kishetani. Anaulinzi wa 24hrs tena analindwa na Scotland yard.
 
Ningekuwa na mamlaka, ningelivunja kabisa hili Jeshi au kubadili uongozi wote wa juu wa Jeshi hili.
Mungu ni mkubwa ba wa neema nyingi, anakutambua kiumbe wake kuwa huna uwezo na wala hutumii akili zako, HATOWEZA KUKUPA MAMLAKA YOYOTE.

Nafasi ya kipaza sauti inakutosha sana.
 
Habari nzuri
Rudi nyumbani kumenoga tu na dereva wake nae arudi.

Si wana kuhojiwa au hawataki tena waliompiga risasi wapatikane?
Naona hpo una post huku unatafuna koroshow
Hivi na Nyie wenye jinsi a ya ke inawaongezeeni mambo fulani

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…