chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,695
- 4,947
Agizo gani Mkuu?Hii ni baada ya USA kutoa angalizo lisilopimika , Mungu wabariki Wazungu
Agizo gani Mkuu?Hii ni baada ya USA kutoa angalizo lisilopimika , Mungu wabariki Wazungu
Wewe ni mgonjwa! Wewe hujui kwamba hon Lissu anawindwa kama Faru? Anatakiwa kupewa ulinzi kama ule anaopewa Sulman Rushed mwandishi wa kitabu cha Aya za Kishetani. Anaulinzi wa 24hrs tena analindwa na Scotland yard.Tunataka kulindwa wote sio mumlinde Lissu peke aKE maana hata sisi ni watanzania tunahitaji ulinzi na kuhakikishiwa usalama wetu.
Mkijipendekeza kumpa ulinzi extra itakua nikutukosea heshima wananchi wa kawaida.
Akitaka uLinzi zaidi ana uwezo wa kuajiri Ma bodyguards binafsi hata 7 watembee nae kila mahali.\
Ila kumpa ulinzi wa jeshi la TAIFA lissu peke ake kama vile yeye ndio Rais wa hii nchi huo ni udhaifu wa Jeshi na kuonyesha fika kuwa sisi wananchi tusio na kitu ni BURE kabisa.
haya ndiyo maswali ambayo media people wetu wanatakiwa wawe wanauliza.... lakini tatizo ni makanjanja wa kuuza sura tu!Kama kutokuwepo Lissu ndio kumesababisha iwe vigumu kuwapata waliomshambulia, mbona Mo yupo na waliomteka hawajapatikana mpaka sasa?
Ndo yule aliyeumwa jino akavimba kichwa na kufa?Nasikia hayupo....alishatangulizwa
Hawatapatikana kamwe kama imeshindikana kuwapata waliomteka Mo pamoja na ushahidi walionao Police ikiwa ni pamoja na mtekwa mwenyewe, gari, nyumba alimohifadhiwa, silaha, CCTV nk. LA Mo tungoje siku tatu za Rais.Habari nzuri
Rudi nyumbani kumenoga tu na dereva wake nae arudi.
Si wana kuhojiwa au hawataki tena waliompiga risasi wapatikane?
Ni jambo jema kama huyo jambazi aliyemjeruhi Tundu Antipas Lisu atapatikana!
Yeyote anayetenda vitendo vya kijambazi ni jambazi tu hata awe na wadhifa au mavazi ya thamani...Una ujasiri wa ajabu, yaani wasiojulikana unawaita majambazi!!!
Kisha ningelipa jina la Police Service badala ya Police Force. Maana Hilo Jina la sasa linawafanya wawe na akili ya kushikiwa na wanasiasa.Ningekuwa na mamlaka, ningelivunja kabisa hili Jeshi au kubadili uongozi wote wa juu wa Jeshi hili.
MFYUUUUU NIMEONA BORA NIKUTUSHULIEHabari nzuri
Rudi nyumbani kumenoga tu na dereva wake nae arudi.
Si wana kuhojiwa au hawataki tena waliompiga risasi wapatikane?
Unapenda kulindwa eeh! ukute wewe ndiye mhusika mkuu wa wasiojulikana si kwa wivu huu, wewe ulindwe unatishio gani au unathamani gani kwa watanzania.Tunataka kulindwa wote sio mumlinde Lissu peke aKE maana hata sisi ni watanzania tunahitaji ulinzi na kuhakikishiwa usalama wetu.
Mkijipendekeza kumpa ulinzi extra itakua nikutukosea heshima wananchi wa kawaida.
Akitaka uLinzi zaidi ana uwezo wa kuajiri Ma bodyguards binafsi hata 7 watembee nae kila mahali.\
Ila kumpa ulinzi wa jeshi la TAIFA lissu peke ake kama vile yeye ndio Rais wa hii nchi huo ni udhaifu wa Jeshi na kuonyesha fika kuwa sisi wananchi tusio na kitu ni BURE kabisa.
InasemekanaNdo yule aliyeumwa jino akavimba kichwa na kufa?
HIVI WEWE NI MWANANCHI WA KAWAIDA AU JINI MAKATA MBONA ROHO MBAYA NA CHAFU HIIIla kumpa ulinzi wa jeshi la TAIFA lissu peke ake kama vile yeye ndio Rais wa hii nchi huo ni udhaifu wa Jeshi na kuonyesha fika kuwa sisi wananchi tusio na kitu ni BURE kabisa.
Hizi kazi zingine aisee ukiwa na hofu ya MUNGU ni bora ukalime viazi kimazichana.Siro kumbuka ulisoma seminary, Mungu anakuona ujue! Hujui kweli Lisu alishambuliwa na akina nani?
Hakuna unayemhisi? Kwanini mlkataza watu wasivae T shirt, wasimwombee kwanini mlisema akifa aende kuzikwa immeadiately bila taratibu za mazishi ya kiserikali.
SIRO UTAHUKUMIWA
Wewe ni mgonjwa! Wewe hujui kwamba hon Lissu anawindwa kama Faru? Anatakiwa kupewa ulinzi kama ule anaopewa Sulman Rushed mwandishi wa kitabu cha Aya za Kishetani. Anaulinzi wa 24hrs tena analindwa na Scotland yard.
Natamani siasa za kistaarabu,ila walio mamlakani wanafanya mizaha na uhai wa wengineNi jambo jema kama huyo jambazi aliyemjeruhi Tundu Antipas Lisu atapatikana!
Mungu ni mkubwa ba wa neema nyingi, anakutambua kiumbe wake kuwa huna uwezo na wala hutumii akili zako, HATOWEZA KUKUPA MAMLAKA YOYOTE.Ningekuwa na mamlaka, ningelivunja kabisa hili Jeshi au kubadili uongozi wote wa juu wa Jeshi hili.
Naona hpo una post huku unatafuna koroshowHabari nzuri
Rudi nyumbani kumenoga tu na dereva wake nae arudi.
Si wana kuhojiwa au hawataki tena waliompiga risasi wapatikane?
Tokea lini mtu akajishtakiTunasubiri zile "SIKU TATU" ziishe ili kesho yake tupate waliomteka MO