Sirro: Lissu atahakikishiwa usalama wake atakaporejea nyumbani

Amesemei kurejea kwake kutakasaidia kukamilisha upelelezi na kufahahamu waliohusika na shambuli lake.


!
!
Aanze Na Waliomteka Mo Kwa Kuwa Mo Yupo Tena Hapa Hapa Dar Es Salaam
 
Kama kutokuwepo Lissu ndio kumesababisha iwe vigumu kuwapata waliomshambulia, mbona Mo yupo na waliomteka hawajapatikana mpaka sasa?
Wale was MO wanasubiri Sikh Simba ikiingia nusu fainali ligi ya mabingwa ndio atawataja
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom