Siri zaidi: Kesi dhidi ya balozi Mahalu - Wapishi wa zengwe hawa hapa

who-told-u wewe ni kiboko tuna peruzi mambo sasa aibuu ,,,,,,
 
Huyo Christopher Martin ni mume wa Grace Martin anayeshtakiwa pamoja na Mahalu. Taarifa ambazo ninazo ni kwamba jamaa analipa kisasi.

... duh ! Ndo maana.

Kwa hiyo Grace mwingine huyu mwenye ubin wa Shangali issue ilikuwa ni kuhemea nyumba ya Dezo serikalini au kuna mavituz mengine? Kwenye email ya (viii) anadeclare... malipo ni hapa hapa. Lazima ana donge flani huyu.

Kwenye email ya (v) Tatu kichwa anasema, KAZI bado, according to Shanagali.

Hawa watatu walimtumikia nani katika zengwe (alleged) hilo? Pls help!
 
Another wiki-leak on the move!!!! Wewe umezipataje private email za huyu dada?

Tiba
 
Hivi kila balozi inatakiwa kuwa na watumishi au wafanyakazi wangapi .
Mfano idaidi ya wafanyakazi Paris, LOndon, Geneva ROme China Russia etc.


BTN

Hii la ubalozi lazima wte tukubaliane kuna uifisadi. tusije kudanganyawa kuwepo kwa document tu kama ni uhalali wa ku negate ufisadi.

Mahalu na wenzake wote ether wao victim na wahusika moja kwa moja ,au ni victim na wanafuaika wa system ya CCM waliyoitumia kwa muda mrefu bila matatizo. Sasa this era ni nyingine

Kwa kuwa mambo yameharibika tutajua mengi lets not take side. Hapa yaliyopo ni madudu si mahalu sio hao wengine.

Na kama kiongozi yeye ndiye muwajibikaji wa kwanza. .

Alafu kwani umri wa kuustafu ni miaka mingapi mbona mwenye email kama kishavuka.
 
Wapishi wa zengwe ni pamoja na hawa hapa:

1: Grace Abdiel Shangali - Kwa kutegemea atawekewa kifua ili auziwe nyumba ya serikali, huyu ame-facilitate upishi wa Zengwe kwa kushirikiana na jamaa hawa hapa chini. Sasa hivi yupo MFAIC, acting Director wa Idara moja hapa. Amengoja sana apewe Ubalozi. Mzembe sana huyu. Email box zake zimesheheni nyaraka za Serikali

2: Adolf Mchemwa - Huyu alifanya madudu yake Ubalozini pale Rome na akarudishwa nyumbani kabla ya kupangiwa kituo kingine. Amebeba donge hadi leo hii

3: Cristopher Matias Martin Mushi - Huyu anajulikana kama Tatu Kichwa au Twin Towers according to Grace Shangali (size ya kichwa chake??). Pamoja na kuwa resident wa Italy, jamaa anaonekana sana Leopard Hotel, Moshi. Kwa wasiomjua, anjitambulisha pia kama afisa usalama. Ametumika sana na TAKUKURU kwenye upishi wa Zengwe lenyewe. Mkibosho mwenzake kwa jina la Chami (nduguye aliyewahi kuwa Waziri mdogo, MFAIC, ndiye anayedaiwa na TAKUKURU kutoa taarifa aliyosikia redioni kuhusu Jengo husika. Chami huyu ni mfanyakazi wa TAKUKURU.

4: et al, pamoja na recipient wa Email za Shangali aleyetegemewa kumsaidia Grace Shangali kupata jumba la dezo serikalini.

mkuu mbona nimepekuwa e mail yake lkn hizi sijaziona au ww ndo umezifutaaaa????????
maana huyu maza ni mkubwa kweli mtu kazaliwa 1954.................!!!!!!!!!anaijua serikali kiundani kabisa
 
Serikali ya Chama Cha Mafisadi kinajua hizo pesa zimeenda wapi, Angalia Sasa Kikwete kashinda Serikali haina pesa za kulipia Mishahara Wananchi lakini wao wanasafiri na kundi kubwa la watu nje ya Nchi kwenye Mikutano Midogo to wangetuma balozi au Just Waziri

I am not sure why our political leaders put their foot in their mouth so often...
 
kaka WHO TOLD U Nakupa respect, ur more than genius. MODE watu kama hawa wape U Premium member direct!
 
Sijaona kitu chochote ulichoweka hapa, zaidi ya jitihada zako za kuwapiga watu majungu yasiyo na msingi. Please provide more docs to substantiate your claims..... mambo mnagombana na mshoga huko unaleta hapa sio jukwaa lake hili.....!!!
 
Laana inawarudia! Wasomi mnaumbuana, sisi wa sekondari za kata yetu macho na mkono shavuni. Vuaneni nguo hadi ngozi, nini magamba? Mmevimbiwa kwa ulafi sasa ona mnatapika jamvini!!! Shem oni yuuuu! Pambaaaaafu.. Na bado.
 
Hivi kuhack email ya mtu ni sawa? What if ya mmoja hapa ikipitiwa? Nadhani investigation inaweza kufanyika kwa namna nyingine na si kuhack emails.
 
Huyo Christopher Martin ni mume wa Grace Martin anayeshtakiwa pamoja na Mahalu. Taarifa ambazo ninazo ni kwamba jamaa analipa kisasi.

Ni sahihi zaidi ukisema alikuwa mke maana kwa sasa hawapo pamoja ingawa Grace amekataa kumpa talaka Chriss.

Mahalu alimgongea kijana mke hivyo ni revenge fulani hivi ingawa kuna ukweli w ufujaji wa mali za JMT. All in all hatungekaa tujue kama sio Grace kumegwa na huyu jamaa!
 
Ni sahihi zaidi ukisema alikuwa mke maana kwa sasa hawapo pamoja ingawa Grace amekataa kumpa talaka Chriss.

Mahalu alimgongea kijana mke hivyo ni revenge fulani hivi ingawa kuna ukweli w ufujaji wa mali za JMT. All in all hatungekaa tujue kama sio Grace kumegwa na huyu jamaa!

Hapo nalipobold nakubalina wether ni mhalu au mwingine kuna ufisai wanajaribu kumuonyesha prof mahalu kama hana kosa wajue yeye alikuwa ni kiongozi.In one or the other anahusika.

Tuache ushabiki wa kutaka kumpaka rangi nyeupe mahalu na wegine tuwapake nyeusi. Binafis sioni msafi

Hi ni kashfa ya ubalozi wa rome na wafanyakazi wake wote. Na inaweza kuwa mfano ufanyaji kazi wa balozi nyingine

Hivi kuhack email ya mtu ni sawa? What if ya mmoja hapa ikipitiwa? Nadhani investigation inaweza kufanyika kwa namna nyingine na si kuhack emails.

Kuhack email ni kosa lakini hilo neno lipo na tenolojia ipo ndo maana linatumika.Hackig ni njia moja nzuri ya kupata confidential information . hii inatukumbusha kuwa though email are privte tusiandike andike mambo ya majungu na unafiki ili ikitokea siku kama haya uwe huna wasi wasi

Ni kosa kuhack but sometime it might be risk worth to take for national / private interest. teh teh teh


 
hii sijui kama ni kweli,naomba ushaidi ili tujue ukweli
.
Ni sahihi zaidi ukisema alikuwa mke maana kwa sasa hawapo pamoja ingawa Grace amekataa kumpa talaka Chriss.

Mahalu alimgongea kijana mke hivyo ni revenge fulani hivi ingawa kuna ukweli w ufujaji wa mali za JMT. All in all hatungekaa tujue kama sio Grace kumegwa na huyu jamaa!
 
Back
Top Bottom