e-mail PDF zimeondolewa au mimi ndio sioni?
hii sijui kama ni kweli,naomba ushaidi ili tujue ukweli
.
Hivi kwa akili yako nyepesi tu unaweza kufikiri ni kwa nini mume amgeuke mkewe tena kwa ndoa ambayo haikudumu kwa miaka hata kumi! Kama wangekuwa kwenye terms nzuri mke angemtetea mkewe kwa kila hali! Sasa bomu linalipuka baada ya mke na mume kuachana. Tumia akili kidogo utagundua!
mangi kaMa haukua nao chumba kimoja ikitokea hii comment siwezi kukubaliana nayo. lakini sawa labda wewe unajua kitu. Swala ni kesi hapa sio haya mambo mengine
Sawa kesi! The thing is behind that imepikwa na kuandaliwa na nani na kwa nini? There some peple behind this ambao wanajua kila kitu kilivyokwenda.
Labda nikwambie tu kuwa polisi sio malaika kujua Profesy kafanya ni au anategemea kufanya uhalifu gani! Siri huvuja huanza pale upande mmoja unapotaka kuugeuka upande wa pili kwa kutaka faida zaidi ama kwa kudhulumiwa! Hapo ndo kelele huanza na hii hufika mbali zaidi! So deal ilishachezwa na upande mmoja kunufaika! Mbaya zaidi ukaingilia unyumba wa mtu! Mwenye mke akagundua! What do you expect? Mwenye mke akae kimya na kuugulia maumivu?
kila nikiifikiria JF najiona mimi ni mdogo kama punje ya hadarati.
hapa mimi najisomea tu. sichangii kitu.
Ukweli ni kuwa huyo wa(3) ni mume wa zamani wa mtuhumiwa wa 2 (Grace MARTIN).....na ndiye aliyechoma utambi wote baada ya kubwagwa na mama mshiko ulipoelekea kutua
Jamaa wameshutuka na kuzitoa docs. Waambieni wakasome SMTP protocal RFC-5321 na RFC-5322 watajua walivyochemsha katika ku forge hizo emails.
Ukweli ni kuwa huyo wa(3) ni mume wa zamani wa mtuhumiwa wa 2 (Grace MARTIN).....na ndiye aliyechoma utambi wote baada ya kubwagwa na mama mshiko ulipoelekea kutua
Hapa naona na wewe unataka kuwatisha watu na vi vocabulary. kumbuka hapa tupo kwenye jukwa la siasa . ebu tufafanulie kama mtaalam hiyo RFC 5321 kwa summary inasemaje
boss fafanua basi.