Siri za wanaorudi CCM toka upinzani zavuja

Ficha upumbavu wako!!Ni vema kama hujuwi jambo ukauliza wenzako kabla ya kukurupuka kama alivyokurupuka huyo unayemuabudu.CCM iliyoasisiwa mwaka 1977,tangu kuasisiwa kwake imeongozwa na wenyeviti 5.CHADEMA iliyoasisiwa 1992,tangu kuasisiwa kwake imeshaongozwa na wenyeviti 4.Kati ya CCM yenye miaka 39 na CHADEMA yenye miaka 24 ni ipi yenye uwiano mzuri wa kuachiana madaraka?
Ebu tutajie hao wenyeviti wa4 waliotawala CDM na muda wao
 
Kwa mara nyingine tena Taifa letu limepata fursa ya kuyafahamu mambo yanayoendelea katika siasa za Tanzania.Siasa za Tanzania zinatajwa kuwa ni siasa za kipekee kabisa duniani,siasa zilizojaa hila,unafiki,usariti na ushawishi unaotokana na nguvu ya fedha na ahadi za vyeo.

Wadadisi wa mambo ya kisiasa nchini waazitataja siasa za nchi hii kama siasa uchwara zisizo na misimamo ambazo hutawaliwa zaidi na "mahitaji ya tumbo", kuliko uzalendo wa kujitoa kulitumikia Taifa.Hizi ni siasa maslahi ambazo badala ya kujikita katika itikadi na falsafa za vyama, zinaongozwa na njaa za wanasiasa uchwara waliotayari kuvisariti viapo vyao kukidhi mahitaji ya matumbo yao. Matokeo ya wanasiasa wa aina hii ni kuwakatisha tamaa wanamabadiliko wa kweli waliojitoa muhanga kulitoa Taifa letu katika utawala dharimu wa CCM.

Mara nyingi tumekuwa tukijiuliza,inakuwaje mtu tuliyemuamini kuwa amejitoa kwa dhati kulipigania Taifa kupitia siasa za mageuzi,afike mahali arudi nyuma na kuyarudia matapishi yake huku akisahau majina aliyoitwa majina kama " oil chafu na mengineyo" wakati alipojiondoa CCM na kuja upinzani?

Jibu la maswali haya nimelipata jana hapa Kahama katika mkutano wa hadhara wa JPM uliofanyika katika viwanja vya milango kumi hapa Kahama maarufu kama "uwanja wa Magufuli". Katika mkutano huo nilishuhudia nguvu kubwa ya ushawishi aliyoifanya JPM akimshawishi aliyekuwa mbunge wa Kahama na mgombea ubunge kupitia CHADEMA 2015 James Lembeli alejee CCM.Umma wa wakazi wa KAHAMA ulipigwa na butwaa na kutoamini namna Rais alivyokuwa anatumia madaraka yake kumshaeishi James Lembeli arejee CCM kwa ahadi kemkem.

Msikilize Magufuli katika video hii akimshawishi Lembeli arudi CCM

Jambo la msingi tunalopaswa kujiuliza: ikiwa Rais alitumia ushawishi wa kiwango hiki hadharani mbele ya mkutano wa hadhara kumuomba Lembeli arejee CCM, ni nguvu gani ya ushawishi hufanywa sirini kuwarubuni makamanda wetu waviasi vyama vyao na kurejea CCM?Unafikiri ushawishi ule alioufanya JPM akimuomba Lembeli arejee CCM ulianzia pale mkutanoni katika viwanja vya Magufuli?Jibu ni kwamba alichokuwa anakifanya JPM pale mkutanoni ni mwendelezo wa juhudi za chini kwa chini anazozifanya na zifanywazo na wenzake kuwarubuni viongozi na wanachama wa upinzani kurudi CCM.

Ni dhahiri kuwa upinzani kunahitaji moyo,ni wachache sana wanaoweza kukataa " ushawishi wa Rais"wa kujiunga na CCM, kwa siasa zetu zinazoongozwa na tumbo, ni nadra kwa mtu mwenye njaa kuukataa wito wa rais,rais mwenye mamlaka za uteuzi na anayeweza kukuteua na kukupa uraji wa kukidhi njaa ya tumbo lako. Inahitaji ujasiri wa kikamanda na moyo wa kizalendo kuvishinda vishawishi vya rais na nguvu ya fedha na ahadi za vyeo ili usirejee ccm,vinginevyo hakuna awezaye kushindana na ushawishi wa aina ile nilioushuhudia jana hapa Kahama.

Shukrani kwa Lembeli kwa "kusita" kutimiza makubaliano ambayo naamini tayari yalikuwa yameshafikiwa kabla ya ule mkutano,lakini nilichokishuhudia pale tayari "roho ya usariti" imeshauingia moyo wa Lembeli,kinachosubiriwa ni muda muafaka tu ili aandaliwe mkutano mwingine wa kumpokea akirejea tena CCM.Pale mkutanoni alisita kutimiza "usariti" wake,lakini alimuhakikishia JPM kuwa "mkia wake bado upo" na anasubiri kutekelezwa kwa mambo flaniflani ili ayarudie matapishi yake kwa kurejea tena CCM.

Njaa ni jambo la kawaida kwa viumbe hai,lakini njaa hugeuka kuwa mbaya pale inapohama toka tumboni na kuingia kichwani. Lembeli huyu huyu aliyeuaminisha Umma wa wanakahama kuwa alishauriwa na mama yake (Mwana Maria) na mizimu ya kwao ilimpa baraka atoke CCM na kujiunga UKAWA, leo anaisariti hadi mizimu yake anayoiamini? Njaa mbaya jamani!!!

Wapenda mabadiliko tusikatishwe tamaa na makamanda waasi wanaoikimbia kambi kwa ushawishi upitao akili zao,ila jambo lililodhahiri ni kwamba,wote wanaorejea CCM hufanya hivyo baada ya vikao vya muda mrefu vya ushawishi vifanywavyo na ccm na serikali yake,wanachokifanya jukwaani mbele za watu ni hatua ya mwisho tu ya kukamirisha usariti wao baada ya mhusika kutimiziwa daadhi ya ahadi alizoahidiwa.

Mkuu tunakushukuru sana kwa kutufumbua macho ili kujua nini kinafanywa na viongozi wetu ktk kuhujumu jitihada zetu kuelekea kupata mageuzi ya kweli
 
Hehehe nivizuri kuona hilo

Unamkuta mtu naye anajiita mwanasiasa kweli anaongea kauli kali
"Anae muunga mkono lowassa akapimwe akili" kweli!!!

Kesho unakuwa wakwanza kumuunga mkono huyohuyo bila kueleza sababu ya kueleweka.

Mtailaumu Ccm lakini ukweli unafahamika

Tanzania tuna vyama vya upinzani vinavyo ongozwa na viongozi Uchwara .

Ukianza kuwapima siasa zao kwamwenye kutumia akili hawa watu hawakustahili hata kuwa viongozi wa vitongoji.

Siasa sa kufuata mkumbo
Eti lema ana hit kwenye gazeti kisa kupigana na police
Naye anaiga hivyo hivyo.

Ccm itatawala zaidi na hii nikutokana na mpinzani wake kuwa Jiwe lisilo kwenda na wakati.

WATANZANIA WANAHITAJI MAENDELEO SIO "UKUTA"
HAWAPAKANI NA SOMALIA
Huna ulichokiandika zaidi ya mipasho, muulize mwenzako Lizaboni nini kinamkuta sasa
 
Ukishawajua wala hawatakupa presha!
WANASIASA (HASA WAAFRIKA) KARIBIA WOTE NI WAONGO;
Wale wasio waongo wanaitwa wanaharakati.
 
Umetumia lugha kali kwa Lembeli bila sababu. Utashi wa kisiasa na kushawishiwa ni mtu binafsi
 
Kwa mara nyingine tena Taifa letu limepata fursa ya kuyafahamu mambo yanayoendelea katika siasa za Tanzania.Siasa za Tanzania zinatajwa kuwa ni siasa za kipekee kabisa duniani,siasa zilizojaa hila,unafiki,usariti na ushawishi unaotokana na nguvu ya fedha na ahadi za vyeo.

Wadadisi wa mambo ya kisiasa nchini waazitataja siasa za nchi hii kama siasa uchwara zisizo na misimamo ambazo hutawaliwa zaidi na "mahitaji ya tumbo", kuliko uzalendo wa kujitoa kulitumikia Taifa.Hizi ni siasa maslahi ambazo badala ya kujikita katika itikadi na falsafa za vyama, zinaongozwa na njaa za wanasiasa uchwara waliotayari kuvisariti viapo vyao kukidhi mahitaji ya matumbo yao. Matokeo ya wanasiasa wa aina hii ni kuwakatisha tamaa wanamabadiliko wa kweli waliojitoa muhanga kulitoa Taifa letu katika utawala dharimu wa CCM.

Mara nyingi tumekuwa tukijiuliza,inakuwaje mtu tuliyemuamini kuwa amejitoa kwa dhati kulipigania Taifa kupitia siasa za mageuzi,afike mahali arudi nyuma na kuyarudia matapishi yake huku akisahau majina aliyoitwa majina kama " oil chafu na mengineyo" wakati alipojiondoa CCM na kuja upinzani?

Jibu la maswali haya nimelipata jana hapa Kahama katika mkutano wa hadhara wa JPM uliofanyika katika viwanja vya milango kumi hapa Kahama maarufu kama "uwanja wa Magufuli". Katika mkutano huo nilishuhudia nguvu kubwa ya ushawishi aliyoifanya JPM akimshawishi aliyekuwa mbunge wa Kahama na mgombea ubunge kupitia CHADEMA 2015 James Lembeli alejee CCM.Umma wa wakazi wa KAHAMA ulipigwa na butwaa na kutoamini namna Rais alivyokuwa anatumia madaraka yake kumshaeishi James Lembeli arejee CCM kwa ahadi kemkem.

Msikilize Magufuli katika video hii akimshawishi Lembeli arudi CCM

Jambo la msingi tunalopaswa kujiuliza: ikiwa Rais alitumia ushawishi wa kiwango hiki hadharani mbele ya mkutano wa hadhara kumuomba Lembeli arejee CCM, ni nguvu gani ya ushawishi hufanywa sirini kuwarubuni makamanda wetu waviasi vyama vyao na kurejea CCM?Unafikiri ushawishi ule alioufanya JPM akimuomba Lembeli arejee CCM ulianzia pale mkutanoni katika viwanja vya Magufuli?Jibu ni kwamba alichokuwa anakifanya JPM pale mkutanoni ni mwendelezo wa juhudi za chini kwa chini anazozifanya na zifanywazo na wenzake kuwarubuni viongozi na wanachama wa upinzani kurudi CCM.

Ni dhahiri kuwa upinzani kunahitaji moyo,ni wachache sana wanaoweza kukataa " ushawishi wa Rais"wa kujiunga na CCM, kwa siasa zetu zinazoongozwa na tumbo, ni nadra kwa mtu mwenye njaa kuukataa wito wa rais,rais mwenye mamlaka za uteuzi na anayeweza kukuteua na kukupa uraji wa kukidhi njaa ya tumbo lako. Inahitaji ujasiri wa kikamanda na moyo wa kizalendo kuvishinda vishawishi vya rais na nguvu ya fedha na ahadi za vyeo ili usirejee ccm,vinginevyo hakuna awezaye kushindana na ushawishi wa aina ile nilioushuhudia jana hapa Kahama.

Shukrani kwa Lembeli kwa "kusita" kutimiza makubaliano ambayo naamini tayari yalikuwa yameshafikiwa kabla ya ule mkutano,lakini nilichokishuhudia pale tayari "roho ya usariti" imeshauingia moyo wa Lembeli,kinachosubiriwa ni muda muafaka tu ili aandaliwe mkutano mwingine wa kumpokea akirejea tena CCM.Pale mkutanoni alisita kutimiza "usariti" wake,lakini alimuhakikishia JPM kuwa "mkia wake bado upo" na anasubiri kutekelezwa kwa mambo flaniflani ili ayarudie matapishi yake kwa kurejea tena CCM.

Njaa ni jambo la kawaida kwa viumbe hai,lakini njaa hugeuka kuwa mbaya pale inapohama toka tumboni na kuingia kichwani. Lembeli huyu huyu aliyeuaminisha Umma wa wanakahama kuwa alishauriwa na mama yake (Mwana Maria) na mizimu ya kwao ilimpa baraka atoke CCM na kujiunga UKAWA, leo anaisariti hadi mizimu yake anayoiamini? Njaa mbaya jamani!!!

Wapenda mabadiliko tusikatishwe tamaa na makamanda waasi wanaoikimbia kambi kwa ushawishi upitao akili zao,ila jambo lililodhahiri ni kwamba,wote wanaorejea CCM hufanya hivyo baada ya vikao vya muda mrefu vya ushawishi vifanywavyo na ccm na serikali yake,wanachokifanya jukwaani mbele za watu ni hatua ya mwisho tu ya kukamirisha usariti wao baada ya mhusika kutimiziwa daadhi ya ahadi alizoahidiwa.

Eti utawala dharimu wa CCM

Unaujua utawaladharimu wewe mshika UKUTA?
 
USALITI ULIOVUNJA REKODI NI ULE WA KIBADILI GIA ANGANI, ANAYEBISHA NA ABISHE!

Simamia hoja yako,kama unaliamini hilo ulilolisema kwa nini uwe na mashaka kuwa watu watakubishia? Au hata wewe unabishana na dhamiri yako kwa kuandika usichokiamini?Jukwaa hili limesheheni watu wenye uelewa tofauti,ukija na hoja usiyoiamini utawezaje kuwashawishi watu wakiamini kile ambacho hukiamini?
 
Mwandishi wa hii hekaya amejawa na hofu ya wanasiasa kurejea CCM

Namshauri tu atulize moyo wake
Watu wenye nia ya dhati wasioendeshwa na remote ya mbowe wafanye maamuzi yao wenyewe na usiuaminishe umma ya kwamba wanashawisiwa.

Unataka kutuaminisha ya kwamba hata kuondoka CCM WALISHAWISHIWA?
 
Eti utawala dharimu wa CCM

Unaujua utawaladharimu wewe mshika UKUTA?

Ndiyo,mimi ni mshika UKUTA namba 1 kwa kuwa napingana kwa dhati na aina yoyote ya udikteta hapa nchini,UKUTA kama "Umoja wa Kupambana na Udikteta Tanzania ninausapoti na nipo tayari kuupinga udikteta uchwara unaolinyemelea Taifa letu,umenipata vizuri mama watoto?Kama hujaridhika sema nikuongeze!!
 
Magu anapata kichwa sababu ya udhaifu wa CHADEMA hii
Enzi za Dr Slaa ile CHADEMA yenyewe Magu asingekuwa anaongea haya ya hovyo
Mbowe kaharibu sana upinzani
Dhambi hii dhidi ya watz waliokuwa wanaitegema CHADEMA ataenda nayo hadi kaburini
 
Kwa mara nyingine tena Taifa letu limepata fursa ya kuyafahamu mambo yanayoendelea katika siasa za Tanzania.Siasa za Tanzania zinatajwa kuwa ni siasa za kipekee kabisa duniani,siasa zilizojaa hila,unafiki,usariti na ushawishi unaotokana na nguvu ya fedha na ahadi za vyeo.

Wadadisi wa mambo ya kisiasa nchini waazitataja siasa za nchi hii kama siasa uchwara zisizo na misimamo ambazo hutawaliwa zaidi na "mahitaji ya tumbo", kuliko uzalendo wa kujitoa kulitumikia Taifa.Hizi ni siasa maslahi ambazo badala ya kujikita katika itikadi na falsafa za vyama, zinaongozwa na njaa za wanasiasa uchwara waliotayari kuvisariti viapo vyao kukidhi mahitaji ya matumbo yao. Matokeo ya wanasiasa wa aina hii ni kuwakatisha tamaa wanamabadiliko wa kweli waliojitoa muhanga kulitoa Taifa letu katika utawala dharimu wa CCM.

Mara nyingi tumekuwa tukijiuliza,inakuwaje mtu tuliyemuamini kuwa amejitoa kwa dhati kulipigania Taifa kupitia siasa za mageuzi,afike mahali arudi nyuma na kuyarudia matapishi yake huku akisahau majina aliyoitwa majina kama " oil chafu na mengineyo" wakati alipojiondoa CCM na kuja upinzani?

Jibu la maswali haya nimelipata jana hapa Kahama katika mkutano wa hadhara wa JPM uliofanyika katika viwanja vya milango kumi hapa Kahama maarufu kama "uwanja wa Magufuli". Katika mkutano huo nilishuhudia nguvu kubwa ya ushawishi aliyoifanya JPM akimshawishi aliyekuwa mbunge wa Kahama na mgombea ubunge kupitia CHADEMA 2015 James Lembeli alejee CCM.Umma wa wakazi wa KAHAMA ulipigwa na butwaa na kutoamini namna Rais alivyokuwa anatumia madaraka yake kumshaeishi James Lembeli arejee CCM kwa ahadi kemkem.

Msikilize Magufuli katika video hii akimshawishi Lembeli arudi CCM

Jambo la msingi tunalopaswa kujiuliza: ikiwa Rais alitumia ushawishi wa kiwango hiki hadharani mbele ya mkutano wa hadhara kumuomba Lembeli arejee CCM, ni nguvu gani ya ushawishi hufanywa sirini kuwarubuni makamanda wetu waviasi vyama vyao na kurejea CCM?Unafikiri ushawishi ule alioufanya JPM akimuomba Lembeli arejee CCM ulianzia pale mkutanoni katika viwanja vya Magufuli?Jibu ni kwamba alichokuwa anakifanya JPM pale mkutanoni ni mwendelezo wa juhudi za chini kwa chini anazozifanya na zifanywazo na wenzake kuwarubuni viongozi na wanachama wa upinzani kurudi CCM.

Ni dhahiri kuwa upinzani kunahitaji moyo,ni wachache sana wanaoweza kukataa " ushawishi wa Rais"wa kujiunga na CCM, kwa siasa zetu zinazoongozwa na tumbo, ni nadra kwa mtu mwenye njaa kuukataa wito wa rais,rais mwenye mamlaka za uteuzi na anayeweza kukuteua na kukupa uraji wa kukidhi njaa ya tumbo lako. Inahitaji ujasiri wa kikamanda na moyo wa kizalendo kuvishinda vishawishi vya rais na nguvu ya fedha na ahadi za vyeo ili usirejee ccm,vinginevyo hakuna awezaye kushindana na ushawishi wa aina ile nilioushuhudia jana hapa Kahama.

Shukrani kwa Lembeli kwa "kusita" kutimiza makubaliano ambayo naamini tayari yalikuwa yameshafikiwa kabla ya ule mkutano,lakini nilichokishuhudia pale tayari "roho ya usariti" imeshauingia moyo wa Lembeli,kinachosubiriwa ni muda muafaka tu ili aandaliwe mkutano mwingine wa kumpokea akirejea tena CCM.Pale mkutanoni alisita kutimiza "usariti" wake,lakini alimuhakikishia JPM kuwa "mkia wake bado upo" na anasubiri kutekelezwa kwa mambo flaniflani ili ayarudie matapishi yake kwa kurejea tena CCM.

Njaa ni jambo la kawaida kwa viumbe hai,lakini njaa hugeuka kuwa mbaya pale inapohama toka tumboni na kuingia kichwani. Lembeli huyu huyu aliyeuaminisha Umma wa wanakahama kuwa alishauriwa na mama yake (Mwana Maria) na mizimu ya kwao ilimpa baraka atoke CCM na kujiunga UKAWA, leo anaisariti hadi mizimu yake anayoiamini? Njaa mbaya jamani!!!

Wapenda mabadiliko tusikatishwe tamaa na makamanda waasi wanaoikimbia kambi kwa ushawishi upitao akili zao,ila jambo lililodhahiri ni kwamba,wote wanaorejea CCM hufanya hivyo baada ya vikao vya muda mrefu vya ushawishi vifanywavyo na ccm na serikali yake,wanachokifanya jukwaani mbele za watu ni hatua ya mwisho tu ya kukamirisha usariti wao baada ya mhusika kutimiziwa daadhi ya ahadi alizoahidiwa.

Magufuli kawashawishi watanzania 8.8 milioni kumpigia kura , itakuwa huyo Lembeli mmoja?
 
Magufuri anaposema sasa hivi ni kupiga maendeleo ya mbele inamaanisha kitu gani?
 
Simamia hoja yako,kama unaliamini hilo ulilolisema kwa nini uwe na mashaka kuwa watu watakubishia? Au hata wewe unabishana na dhamiri yako kwa kuandika usichokiamini?Jukwaa hili limesheheni watu wenye uelewa tofauti,ukija na hoja usiyoiamini utawezaje kuwashawishi watu wakiamini kile ambacho hukiamini?
Huyo ni kati ya wanao tarajiwa kukatwa mikia yao pale lumumba
 
Back
Top Bottom