Hilo nalo neno!!Hivi huyu Kipanga mlakuku na Kiwalanikwa gude ni mtu na mdogo wake? Mmoja kajiunga tarehe 8 June na mwenzake tarehe 9 Juni. Lakini malengo ya mada zao ni kuonyesha nguvu alizo nazo Lowassa ndani ya CCM.
Hilo nalo neno!!Hivi huyu Kipanga mlakuku na Kiwalanikwa gude ni mtu na mdogo wake? Mmoja kajiunga tarehe 8 June na mwenzake tarehe 9 Juni. Lakini malengo ya mada zao ni kuonyesha nguvu alizo nazo Lowassa ndani ya CCM.
Duh nasikia kichefuchefu mnapojaribu kumpamba Mindosya, Jamani mtu huyu hafai hata kuwa jirani yakooooooo!!!!! ona wizara ya maji anavyoichakachua, yaaani we acha kila kona anakusanya pesa za umma kwa manufaa yake, nasema huyo hafai hata kidogo!!!!!
aise hivi Mwandosya anasumbuliwa na ugonjwa gani hasa?something chronic and serious or what?
Kweli mkuu.pumba⬠usimbague mtu kwa cku alyojiunga.. Jaji anacho'post
Fununu nyingine zinasema pingili moja au zaidi za uti wa mgongo ina(zina) hitilafu.
Tunataka rasi kijna ,
Mwenye ubongo unaochemka na sio hawa mnaowataja taja wote wamechoka ndio hao wanao lala bungeni.
Wakati sasa umefika kuachana na hawa wanoelekea kustaafu au wamestafu utumishi wa umma wakamua kuingia kwenye siasa.
<br />Kweli Nape anawaumiza kichwa wengi sana na kazi yake ya kukifufua chama chake CCM... Maana siku hizi huwezi kuingia JF ukakosa thread inayomjadili Nape. <br />
<br />
Jamaa atakua ni jembe sana... Keep it up Nape.... Inaonakeana kazi yako nzuri sana ndio maana hawalali wanakuchokonoa hata kwa mambo yanayochekesha kama haya. Uwe muangalifu sana na nyendo zako kuelekea 2015.
<br />Lowassa akiwa Rais tutafika mahali fulani,ana sifa za uongozi ni mbunifu,msimamiaji mzuri wa maamuzi ni mkalipiaji kwa wazembe,Nchi bila aina ya akina Lowassa tutaendelea kulaumiana tu