Siri za Lipumba, NEC zafichuka

Siri za Lipumba, NEC zafichuka

Nilitegemea MwanaHalisi watuwekee majina ya 2015 ya CUF na tuone hawa wa Lipumba wanakwendaje na list hiyo. Wakifanya hivyo wataaminika zaidi au ndio siri ya mahakamani?
 
Nilitegemea MwanaHalisi watuwekee majina ya 2015 ya CUF na tuone hawa wa Lipumba wanakwendaje na list hiyo. Wakifanya hivyo wataaminika zaidi au ndio siri ya mahakamani?
Pata nakala yako , majina yote ya halali yaliyopelekwa na cuf 2015 yamewekwa .
 
Mbona hauna point ya kuongea. Hao wabunge walioteuliwa na lipumba ni wa chama gani na Lipumba mwenyewe kiti wa chama gani , ukipata jibu ndio utajuwa kuwa hayo majina sio ya mfukoni
 
Mbona hauna point ya kuongea. Hao wabunge walioteuliwa na lipumba ni wa chama gani na Lipumba mwenyewe kiti wa chama gani , ukipata jibu ndio utajuwa kuwa hayo majina sio ya mfukoni
Wewe pia ni member hapa jf ?
 
Huu Lipumba njaa itamuua
IMG-20170807-WA0052.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taarifa za uhakika ni kwamba majina ya wabunge wapya wa cuf walioteuliwa kushika nafasi za wale ambao ' wamefukuzwa ' na Msaliti Lipumba , kumbe ni majina ya mfuko wa suruali ya Lipumba .

Ule utaratibu wa kisheria wa Tume ya uchaguzi wa kuteua wabunge wa viti maalum kutokana na orodha iliyowasilishwa kwake na chama husika , tena kabla ya uchaguzi mkuu kufanyika UMEPUUZWA .

Chanzo MwanaHalisi .

Mytake - Kwanini Tume ya uchaguzi imeamua kujidhalilisha kiasi hiki ? Maana hata kama wabunge hawa wangefukuzwa kihalali , bado NEC ilitakiwa kuteua wengine walio kwenye orodha iliyowasilishwa na CUF kabla ya uchaguzi mkuu wa 2015 .

Watu wachache wanafedhehesha Nchi kwa gharama ya vyeo vya kupita tu .
Mkuu hapo nchi imefedhehekaje Sasa..?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Source :Mwanahalisi

Mmiliki: Kubenea

Hivi karibuni: kubenea atangaza vita ya kumg'oa Lipumba ofisi za Buguruni

Onyo:Ni aibu kwa great thinkers kujadili uzushi kutoka kwa mtu mwenye elimu ya hapa na pale.

Tulipofikia kama Taifa hatupaswi kumuamini yeyote hata kama ana kabati lililojaa vyeti vya elimu.Wanaojiita wasomi ndiyo walioliingiza taifa katika kashfa zote za wizi na ufisadi, ndiyo walioandika barua za kujiudhuru kisha baada ya mwaka wakahamishia makazi yao Buguruni.
 
Back
Top Bottom